MaabaraBill Gates na mahabara zake za genetic modification atakuwa anahusika
Ujue niliandika kwa Kiingereza ila nikafuta, siku nyingi sana sijaandika neno maabaraMaabara
Kama ndivyo, hiyo ni hujuma jamii (social sabotage). Ila wataalamu wetu mahiri wamesinzilia wapi wasifanye counteroffensive?Inamana wazungu wametengeneza hybrid ya mbu kweli wazungu hawatu pendi waafrika
Proof?