johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wamasai ni sehemu ya Utalii kwa sababu wanadumisha mila na desturi ambazo makabila mengi yameshindwa.
Kwa mfano:
Wagogo wa leo hawatoboi masikio kama unga
Wamakonde wa leo (Mmawia) hawachanji chale wala kuweka ndonya
Wahehe hawaweki kumi na moja pembeni ya macho
Wajaluo wanatahiriwa
Wanawake wa Mara hawatahiriwi nk.....nk
Hivyo Wamasai ni alama adimu iliyobaki kwa tamaduni za dunia.
Jumaa kareem!