Mbuga nyingi duniani zina Wanyama lakini hazina Wamasai. Moja ya kivutio cha Watalii Ngorongoro ni uwepo wa Wamasai!

Mbuga nyingi duniani zina Wanyama lakini hazina Wamasai. Moja ya kivutio cha Watalii Ngorongoro ni uwepo wa Wamasai!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wamasai ni sehemu ya Utalii kwa sababu wanadumisha mila na desturi ambazo makabila mengi yameshindwa.

Kwa mfano:

Wagogo wa leo hawatoboi masikio kama unga

Wamakonde wa leo (Mmawia) hawachanji chale wala kuweka ndonya

Wahehe hawaweki kumi na moja pembeni ya macho

Wajaluo wanatahiriwa

Wanawake wa Mara hawatahiriwi nk.....nk

Hivyo Wamasai ni alama adimu iliyobaki kwa tamaduni za dunia.

Jumaa kareem!
 
... kwanini watalii hawaendi Longido au Kiteto kwenye wamasai tele? Kama ni lazima masai waendelee kuwepo Ngorongoro basi population yao iwe controlled otherwise itafika muda watabaki wenyewe huko tuone kama watalii wataenda kama ambavyo hawaendi sehemu nyingine nilizotaja.
 
Back
Top Bottom