Mbuga ya Serengeti yawa kinara kwa Utalii kwa Bara la Afrika

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
697
Reaction score
1,358
Kama Watanzania wote kwa uwingi tulionao na kuweke Uzalendo mbele kila mtu kwa nafasi yake atangaze vivutio vya Utalii vya hpa Nchini naamini Taifa litaongeza mapato kupitia secta hii muhimu ya Utalii Nchini.

Pia na sisi Watanzania tujenge utamaduni wa kwenda kutembelea vivutio vya Utalii Nchini.

Hongera Serikali ya #JPM
Hongereni Tanapa
Hongereni Watanzania wote

FB_IMG_1605009068877.jpeg
 
Hongera nchi yetu kwa kazi nzuri, watatuelewa tu siku moja.
 
Watu wa hiyo wilaya wana maisha Magumu sana. Lami wanaisikia kwenye radio. miundo mbinu kwa ajili ya watalii hakuna. Watalii wanapita tu hapo mjini mugumu. Labda watakumbukwa kipindi hiki.
 
Burigi Chato ndiyo ilitakiwa ishinde. Acheni upendeleo.

Halafu mods mnafuta post zangu bila sababu za msingi. Acheni upendeleo.
 
Naomba kujuzwa hifadhi ya burigi chato inaendeleaje wajameni? maana nijuavyo to create hifadhi huwa ni jambo gumu sana naomba mwenye kufahamu atujuze
 
Lema ,Sugu ,Lisu wako bize kujibanza na kuolewa kwenye nchi za watu katika juhudi zao za kuichafua Tanzania kwamba sasa haitawaliki na imejaa mauwaji na vitisho.
 
Watu wa hiyo wilaya wana maisha Magumu sana. Lami wanaisikia kwenye radio. miundo mbinu kwa ajili ya watalii hakuna. Watalii wanapita tu hapo mjini mugumu. Labda watakumbukwa kipindi hiki.

hahaha sasa itakua tour gan unaweka lami maeneo ya mbuga, hata wanyama watakimbia because they cant stick sehem ambapo sio mazingira yao ingawa serikali iliomba wahamishwe wakakataa
 
upopomarism ...mbogambonga

viva FZS UNESCO AWF TANAPA TOUR OPERATORS
 
hahaha sasa itakua tour gan unaweka lami maeneo ya mbuga, hata wanyama watakimbia because they cant stick sehem ambapo sio mazingira yao ingawa serikali iliomba wahamishwe wakakataa
kwani mimi nimeongelea lami ya mbugani? mimi naongelea barabara inayotoka bunda kwenda Mugumu, na ile inayotoka tarime kwenda mugumu mjini,siyo mbugani.
Mbona mikumi kuna lami na wanyama wapo, tena tunakutana na tembo kabisa anavuka barabara
Ulisikia wapi wanyama wanaogopa lami
 
Serengeti sio man made national park, you cant do that!
 
Kama Watanzania wote kwa uwingi tulionao na kuweke Uzalendo mbele kila mtu kwa nafasi yake atangaze vivutio vya Utalii vya hpa Nchini naamini Taifa litaongeza mapato kupitia secta hii muhimu ya Utalii Nchini.

Pia na sisi Watanzania tujenge utamaduni wa kwenda kutembelea vivutio vya Utalii Nchini.

Hongera Serikali ya #JPM
Hongereni Tanapa
Hongereni Watanzania wote

😍😍
 
Back
Top Bottom