Alex Fredrick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 697
- 1,358
Watu wa hiyo wilaya wana maisha Magumu sana. Lami wanaisikia kwenye radio. miundo mbinu kwa ajili ya watalii hakuna. Watalii wanapita tu hapo mjini mugumu. Labda watakumbukwa kipindi hiki.
kwani mimi nimeongelea lami ya mbugani? mimi naongelea barabara inayotoka bunda kwenda Mugumu, na ile inayotoka tarime kwenda mugumu mjini,siyo mbugani.hahaha sasa itakua tour gan unaweka lami maeneo ya mbuga, hata wanyama watakimbia because they cant stick sehem ambapo sio mazingira yao ingawa serikali iliomba wahamishwe wakakataa
viva JPM
kwani mimi nimeongelea lami ya mbugani? mimi naongelea barabara inayotoka bunda kwenda Mugumu, na ile inayotoka tarime kwenda mugumu mjini,siyo mbugani.
Mbona mikumi kuna lami na wanyama wapo, tena tunakutana na tembo kabisa anavuka barabara
Ulisikia wapi wanyama wanaogopa lami
Kwenye kujenga bwawa la selous mlileta hizohizo siasaSerengeti sio man made national park, you cant do that!
😍😍Kama Watanzania wote kwa uwingi tulionao na kuweke Uzalendo mbele kila mtu kwa nafasi yake atangaze vivutio vya Utalii vya hpa Nchini naamini Taifa litaongeza mapato kupitia secta hii muhimu ya Utalii Nchini.
Pia na sisi Watanzania tujenge utamaduni wa kwenda kutembelea vivutio vya Utalii Nchini.
Hongera Serikali ya #JPM
Hongereni Tanapa
Hongereni Watanzania wote