Nejad Rocket
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 298
- 197
Ni kweli lkn vinegeuka chimbo LA wasaka blood[emoji35]Upo ukwimwi, homa ya INI, usifanye ngono zembe umekwisha AISEE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli lkn vinegeuka chimbo LA wasaka blood[emoji35]Upo ukwimwi, homa ya INI, usifanye ngono zembe umekwisha AISEE
Singida hatii mguu kwa MbuluUkitoka hapo nenda Singida.
Nakwambia ukweli mkuu kuna mmoja alikuwa rafiki yangu siku akivurungwa wasap inajaa mapicha yale unayoyajuaduh!
UMASKINI BWANA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ninerudi kula lunch pale pale nilipokunywa tea asubuhi mhudumu mzuri jamani cjui ndo nishatekwa wakuu
Gamila akoo , desi ester dero yule wa pale kwa mura muuza spare za pikipikiHawa hapa baadhi ya watoto wa kiirak ni noma sana!!
Ila hawafai kbsNipo babati Leo kila kona naona chuchi na binti nzuri kama za kule kuliko lipuka volcano Jana aiii siondoki leo [emoji39]
We binti kwani wewe Wa wapi au wa huko pia?Mmh wakaka jamani
Ni manyara mkuuNgoja niandae safari ya huko babati na mbulu ni mkoa gan huo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ***** unajua kusifia MKUU mpaka najikuta nawasha gari nakuja pande hizo nami nijionee uzuri wa TanzaniaFlatscreen mkuu,sema uzuri wao sio wachoyo kabisa unaomba asbh jioni ushakula
HahahahaAione Babati
Fanya kilichokuleta uondoke mkuuNipo babati Leo kila kona naona chuchi na binti nzuri kama za kule kuliko lipuka volcano Jana aiii siondoki leo [emoji39]
Mjiandae kupokea wageni kwa kupitia uzi HUUHahahaha
Tunawakaribisha sana mkuuMjiandae kupokea wageni kwa kupitia uzi HUU