Mbumbumbu na washirika wenu mkae mkijua Yanga ni Yanga tu; kupoteza mechi 2 msidhani ndio wamepoteana mtaumbuka

Makavuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
1,425
Reaction score
1,829
Nimekuwa nikiona mbumbumbu wengi na baadhi ya washirika wao wakipeana moyo na kuwaponda yanga kwamba kutokana na kufungwa mechi 2 basi Yanga wamepoteana na wataendelea kupoteza mechi nyingine!
Nadhani awaijui yanga vizuri na utamaduni wake.

Ni ngumu sana kwa yanga kupoteza mechi 3 mfululizo, kilichotokea mechi 2 zilizopita Kila anayefahamu Mpira anajua sababu ya kupoteza, isitoshe Ile ilikuwa ni wake up call ya kuwaweka viongozi na wanachama sawa maana walikuwa wamejisahau sana kutokana na ushindi wa Kila mechi bila kufungwa!

Na bahati nzuri jambo limekuja mapema kabla ligi aijachanganya sasa viongozi washafanya kazi yao, penye ufa washaziba, penye tatizo washatatua, kwa maana iyo wanaotegemea kwamba yanga atapoteza mechi nyingine wanajidanganya, na wanaweza kwenda mpaka kumaliza ligi na kutwaa ubingwa bila kufungwa Tena iyo risiti muitunze msije mkasema sikuwaambia.

Yanga awawezi kurudia kosa abadani kwa namna walivyo na mikakati yao. Mechi ya Leo dhidi ya Al hilali ndio itakuwa starting point ya yanga kurudi njia kuu na watashinda iyo mechi kwa Mpira mkubwa iyo ndio sifa ya timu kubwa na wachezaji wakubwa!
 
Nikama Tyson kupigwa na jack ni game tu

na ukilielewa neno game kiundani unaweza kuitumia game Kama game

Lakini huwezi kuifanya game kuwa sehemu ya maisha
 
3!
 
Utopolo mtupu
 
Mkuu nakusalimia! ๐Ÿ‘‹๐Ÿ‘‹๐Ÿ‘‹๐Ÿ‘‹
 
"Kocha" kanjanja rudi kwenye drawing table.Cha tatu tayari lete uchambuzi feki tena.
 
YAnga ni Kasoooongoo mbona wewooooooo
 
"Kocha" kanjanja rudi kwenye drawing table.Cha tatu tayari lete uchambuzi feki tena.
Mlikuwa wapi kujibu kabla ya mechi? Mechi imekwisha ndio mnatoa vichwa๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Mร nara kasema wenye ร kili huko utopoloni ni wawili tuu.
Nakuona mbumbumbu unathibitisha utaahira wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ