Mbumbumbu na washirika wenu mkae mkijua Yanga ni Yanga tu; kupoteza mechi 2 msidhani ndio wamepoteana mtaumbuka

Tungekujibu kabla ya mechi ungetuona mataahira kama wewe, maana ungebisha tuu.
Ni kwamba amjiamini mnasubilia matukio ndio mnajitokeza,,Mangungu anafuga sample nyingi sana za wafuasi wake!
 
Ni kwamba amjiamini mnasubilia matukio ndio mnajitokeza,,Mangungu anafuga sample nyingi sana za wafuasi wake!
watu wanasubiri ulicho kisema kitokee, haya kimetokea? Utafuta kauli yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…