GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tungekujibu kabla ya mechi ungetuona mataahira kama wewe, maana ungebisha tuu.Mlikuwa wapi kujibu kabla ya mechi? Mechi imekwisha ndio mnatoa vichwa🚮🚮
Ni kwamba amjiamini mnasubilia matukio ndio mnajitokeza,,Mangungu anafuga sample nyingi sana za wafuasi wake!Tungekujibu kabla ya mechi ungetuona mataahira kama wewe, maana ungebisha tuu.
watu wanasubiri ulicho kisema kitokee, haya kimetokea? Utafuta kauli yako?Ni kwamba amjiamini mnasubilia matukio ndio mnajitokeza,,Mangungu anafuga sample nyingi sana za wafuasi wake!
Kweli! Kuimba kupokezana.Ndio Mpira ulivyo watarudi kwenye reli siku sio nyingi