Kwann mlimchagua kuwa kiongozi. Ni umbumbumbu unawasumbuaHuyo mkubwa akili za kushikiwa
Habari za siku nyingi mbumbumbuNani yule alisema wala mihogo au yule aliesema yanga wote ni makima na mambwa mnabweka bweka hovyo
Au yule aliesema hapo utopoloni wenye akili ni wawili tu ukimtoa baba ake na mzee jk?
Kaandae mihogo kwa ajili ya jumatanoKwann mlimchagua kuwa kiongozi. Ni umbumbumbu unawasumbua
Kichwani kweupe mbumbumbuKaandae mihogo kwa ajili ya jumatano
Mbumbumbu SC ni kibonde kwa timu za Dar mximu huuDah.....!
Utopolo kazi mnayo....!
Mihogo mnayokula imetamkwa Na Raisi Wenu juzi tu......!Sisi mnatusingizia..!
Hiyo kauli ya mbumbumbu ya Mwaka '47' ni Kama mla Leo mla Jana kala nini?'
Hivi Sasa tunawasubiri tar 9 Ya November 2022 .
Mkishindwa tu Kuingia Makundi Ya Loosers Wa CL Wa CAF..! Inatakiwa mjifungie wenyewe pale Jangwani..!
Na ni iwe marufuku kutamka Unbeaten ni Mafanikio..!
To be sincerely honest, jina la Mbumbumbu llinawapendeza sanaMla mihogo unapambana kupunguza gesi kwa kuleta kiporo!
Makopa nayo ni meupeKichwani kweupe mbumbumbu
Haya majamaa kweli ni mambumbumbu! Cheki yanavyobweka!! πππJamani haya siyo maneno yangu, ni maneno ya mkubwa wenu.View attachment 2408778
Wewe mbumbumbu, unateseka ukiwa wapi? πJinsi habari ilivyo outdated hata like huna
Wewe usie na akili hapo mihogo FC mm siteseki mbonaa. π πWewe mbumbumbu, unateseka ukiwa wapi? π
Sijasema mimi lakini!
Na hili jina watadumu nalo milele! Imagine ukiwauliza zilipo bilioni 20, hawana majibu ya kueleweka!To be sincerely honest, jina la Mbumbumbu llinawapendeza sana
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Zenuuuu zinawahusu nini?.pambaneni na waarabu huko. Mo aloyafanya ni zaidi ya hzo bilioni 20. Pambaneni na homa ya waarabuNa hili jina watadumu nalo milele! Imagine ukiwauliza zilipo bilioni 20, hawana majibu ya kueleweka!
Eti ooh!! Sisi timu yetu ikishinda, inatosha!