Mbumbumbu Sports Club

Mbumbumbu Sports Club

Ulivyokua huna Akili Tate Mkuu ukaenda ku like kweli aliesema hapo utopoloni wenye akili 2 hakukosea
Hakika leo siku yangu itapita vizuri baada ya kuiangalia hiyo clip!! Hakika kuongoza club kama ya simba inahitaji uwe na moyo sana!

Maana mashabiki wake hata hawaelewi wanataka nini!
 
Hakika leo siku yangu itapita vizuri baada ya kuiangalia hiyo clip!! Hakika kuongoza club kama ya simba inahitaji uwe na moyo sana!

Maana mashabiki wake hata hawaelewi wanataka nini!
Tunajua tunachotaka ndo maana huyo aliesema hivyo katulia tuliii anashangaa tu mafanikio ya Simba kwa sasa. Akae kwa kutulia
 
Aisee
IMG_20221107_165058_358.jpg
 
Mbumbumbu fc yaani mbele kabisa ya wanachama ingekuwa yanga ndio wameitwa hivi sipati picha ingekuwaje!!!
Mbona juzi mliitwa wala mihogo - hersi
Mna vinyesi kwenye nyeti zenu - manara
Manyani, mambwa mnabweka bweka hovyo - luc eymael
Hamna akili - manara
 
[emoji599]ZA NDANI KABISA

KUNA TAARIFA NIMEPOKEA HAPA.NI KWAMBA FEI TOTO SAIZI MAZOEZINI ANAJIITA OPAH CLEMENT.[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom