Pre GE2025 Mbunge Abbas akabidhi pikipiki kwa vijana Golan itumike kama kitega uchumi

Pre GE2025 Mbunge Abbas akabidhi pikipiki kwa vijana Golan itumike kama kitega uchumi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Ila Abbas ana vituko:BearLaugh::BearLaugh:TAKUKURU hamuoni hizi rushwa nje nje?

Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

===


Mbunge wa Kinondoni Tarimba Abbas, amewapatia Vijana wa Shina la Golan katika Tawi la Vijana wa CCM la Kawawa, Kata ya Hananasif, Pikipiki aina ya Boxer itumike kama kitega uchumi kwa vijana hao.

Kwa vimbwanga na vituko vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Back
Top Bottom