tarimba abbas

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Tarimba: Wana Kinondoni Tujitokeze Kutoa Ushahidi Ili Waliohusika Wachukuliwe Hatua

    Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Jijini Dar es Salaam Mhe Abbas Tarimba amewataka wananchi wa wilaya Kinondoni kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwa Tume ya Jaji Lila ambayo kwa sasa inapokea maoni kutoka kwa Wananchi wa Wilaya hiyo kwa muda wa wiki moja Tume hiyo ya kimataifa inayoundwa na...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tarimba Abbas ataka sheria ya lazima watoto kutunza wazazi wao

    Mbunge wa Kinondoni (CCM), Tarimba Abbas amesema Serikali haioni haja ya kuweka sharti la kisheria la watoto wakubwa kuwatunza wazazi wao wasiojiweza. Akizungumza Bungeni Leo Jumatano Januari 28,2025 Tarimba amesema katika mataifa mengine kuna sheria za lazima kwa watoto kuwalea wazazi wao...
  3. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tarimba Abbas: Kinondoni inahitaji Watu wa kufanya Kazi, siyo kujifunza Kazi

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni Mkoani Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tarimba Gulam Abbas, amesema Jimbo la Kinondoni linahitaji watu wa kufanya kazi na siyo watu wa kujifunza kufanya kazi, akiwataka wananchi hao kumchagua ili kufanya kazi. ‎ ‎Akizungumza na wananchi Jimboni...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded UDSM wamepigapigaje hapa kwa Tarimba Abbas, aliwezaje kusoma degree na masters ndani ya miaka miwili tu?

    Wakuu Wasifu wa mbunge wa Kinondoni Tarimba Gulam Abbas katika tovuti ya bunge unaonesha alitumia miaka miwili tu, 2010 na 2011 kupata degree pamoja na master's ya sheria kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam. Hii inawezekanaje, wakati kwa kawaida tunafamu degree peke yake si chini ya miaka...
  5. upupu255

    JamiiForums Tanzania Mbunge Tarimba atoa ya moyoni kuhusu Dabi ya Kariakoo, awataka marefa kutenda Haki

    Mbunge wa Jimbo la Kinondoni na Shabiki mkubwa wa timu ya Yanga SC Mhe. Tarimba Abbas kupitia mahojiano aliyofanya na ITV Digital ametoa maoni yake kuelekea kwenye Dabi ya Kariakoo kati ya timu ya Yanga SC na Simba SC. Kwenye Mazungumzo hayo Mhe. Tarimba amewataka marefa kutenda haki na kusema...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Mbunge Abbas akabidhi pikipiki kwa vijana Golan itumike kama kitega uchumi

    Wakuu, Ila Abbas ana vituko:BearLaugh::BearLaugh:TAKUKURU hamuoni hizi rushwa nje nje? Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 === Mbunge wa...
Back
Top Bottom