Tarimba: Wana Kinondoni Tujitokeze Kutoa Ushahidi Ili Waliohusika Wachukuliwe Hatua

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,922
Reaction score
3,252

Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Jijini Dar es Salaam Mhe Abbas Tarimba amewataka wananchi wa wilaya Kinondoni kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwa Tume ya Jaji Lila ambayo kwa sasa inapokea maoni kutoka kwa Wananchi wa Wilaya hiyo kwa muda wa wiki moja

Tume hiyo ya kimataifa inayoundwa na mawakili wabobevu kutoka ndani na nje ya nchi kwa sasa inapokea ushahidi kutoka kwa Wananchi wa Wilaya ya Kinondoni katika Ofisi za Jengo la Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Posta Dar es Salaam.
 
View attachment 3694421

Walioandamana ndo waliopoteza watu? Ndo walioficha maiti? Ndo waliokwenda Kimondoni hosp kukwapua maiti? Kama ulichosema ndo mnachotafuta andikeni mnachoandika kamateni mnaotaka.
 
View attachment 3694421
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Jijini Dar es Salaam Mhe Abbas Tarimba amewataka wananchi wa wilaya Kinondoni kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwa Tume ya Jaji Lila ambayo kwa sasa inapokea maoni kutoka kwa Wananchi wa Wilaya hiyo kwa muda wa wiki moja

Tume hiyo ya kimataifa inayoundwa na mawakili wabobevu kutoka ndani na nje ya nchi kwa sasa inapokea ushahidi kutoka kwa Wananchi wa Wilaya ya Kinondoni katika Ofisi za Jengo la Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Posta Dar es Salaam.

Waanzie kwanza kwa akina Wambura, Muliro, Mafwele na watuonyeshe kwenye vyombo vya habari wakitoa ushahidi ili kuwapa Wananchi imani badala ya kuwahimiza. Pia watuonyeshe kamati ikiwa Mwananyamala hospital.
 
View attachment 3694421
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Jijini Dar es Salaam Mhe Abbas Tarimba amewataka wananchi wa wilaya Kinondoni kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwa Tume ya Jaji Lila ambayo kwa sasa inapokea maoni kutoka kwa Wananchi wa Wilaya hiyo kwa muda wa wiki moja

Tume hiyo ya kimataifa inayoundwa na mawakili wabobevu kutoka ndani na nje ya nchi kwa sasa inapokea ushahidi kutoka kwa Wananchi wa Wilaya ya Kinondoni katika Ofisi za Jengo la Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Posta Dar es Salaam.

Pia asituchanganye hapa taharuki iwepo halafu kura zifike 98 %.

Halafu mbona hawataki kabisa kuzungumzia ni jinsi gani watu wakiuawa? Yeye anadai walifariki. Hivi huyu Ponjoro hajui tofauti ya KUFARIKI NA KUUAWA....!!?
 
Watu wa CCM pekee wataenda. Maoni yataonyesha wapinzani walihusika kupanga uchochezi na vurugu.

Hakuna kwenye akili atashiriki jambo lolote lile linanahusisha SERIKALI HARAMU.
 
Napata wasiwasi ya kwamba hili Suala la kutoa ushahidi kwenye kamati linashadadiwa na CCM. Napata wasiwasi kweli.
 
majority ya watu wanaoenda kutoa ushahidi wameandaliwa na serikali haramu.

Haihitaji rocket science kugundua hili.
 
View attachment 3694421
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Jijini Dar es Salaam Mhe Abbas Tarimba amewataka wananchi wa wilaya Kinondoni kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwa Tume ya Jaji Lila ambayo kwa sasa inapokea maoni kutoka kwa Wananchi wa Wilaya hiyo kwa muda wa wiki moja

Tume hiyo ya kimataifa inayoundwa na mawakili wabobevu kutoka ndani na nje ya nchi kwa sasa inapokea ushahidi kutoka kwa Wananchi wa Wilaya ya Kinondoni katika Ofisi za Jengo la Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Posta Dar es Salaam.
Huyu maku anajifanya mjanja wakati anawaibia wabongo kwenye kamari uchwara.
 
Back
Top Bottom