Mbunge adai SGR itajengwa kwa miaka 81

CCM kumbe kuna watu wana akili?! Naona wameamka kutoka kwenye usingizi wa pono! wameanza kuonyesha dalili za kutumia bongo zao kidogo kidogo!
Washamsahau malaika wao
 
Jiwe katiingiza chaka na lawama hawezi kuzikwepa
 
Reli ni mradi mzuri sana ila JPM kama alivyosema Prof Assad leo ktk ioe asilimia 60 yupo.
 
Sikutegemea wabunge wa ccm wawe ndio wanasema hayo coz waliyanyamazia miaka mitano yote. Jmn watanzania tunaposema tunahitaji mijadala kwenye hiyo miradi ya maendeleo watu hawaelewi leo mtu mmoja anatesa watanzania takribani milion sitini.
 
Huyu Mbunge mnafiki mkubwa wakati Mzee yupo mlikuwa hata hamumshaurii zaidi ya kumsifia tu sasa ameondoka ndio mmeanza kutapika shame on you.
 
Nut zimeanza kulegea kichwani, tutasikia mengi
 
Naipenda Tanzania nchi yangu, lango kuu la wapiga dili. Wananchi wake ni sawa na Wanachi wa enzi za nabii Mussa, walikataa hadi msaada wa chakula cha bure kutoka kwa mungu
 
CCM kumbe kuna watu wana akili?! Naona wameamka kutoka kwenye usingizi wa pono! wameanza kuonyesha dalili za kutumia bongo zao kidogo kidogo!
Bado kabisa. Hawa ni watu hatari sana sana. Wanatoa mawazo kulingana na upepo unakoelekea. Ni watu wa hatari sana. Hawa hata kununuliwa ili kupitisha miradi mikubwa ya nchi za nje bila kujali faida ya nchi yetu ni rahisi sana.
 
Huyu mwendazake ametuingiza chaka kweli kweli,kuanzisha miradi mikubwa mikubwa bila upembuzi yakinifu.

Sasa tumeweka mabilioni kwenye SGR ambayo haiwezi kutumika hivi karibuni. Hiyo inaitwa wastage of resources au matumizi mabaya ya rasilimali kwa gharama ya kushindwa kutoa huduma muhimu za jamii!

Jambo sahihi ilikuwa kuanza kutekeleza mradi huo ikiwa kila kitu kiko in place ili kukamilishwa mradi wote kwa muda mfupi na kuanza kutumika na kuongoza mapato.
 
R.I.P JPM;VIJANA TULIODHANI WATAKUTETEA TUNAONA WAKIUNGANA KUPOTEZA MEMA ULIYOYAFANYA
 
Hii miradi kwa uwezo wake Mungu itakamilika, huenda ikachelewa lakini itakamilika.
 
Unajua hichi kifo cha mwendazake inawezekana Mungu amemnusuru angepata aibu kubwa kama hii miradi isingekwisha na hali za watu ni halidhoofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…