Kama kweli Dialo kanunua na kuchoma moto vitabu ni upungufu wa maarifa ni sawa na mwanafuzi kushindwa somo la hesabu na kuamua kuchoma moto kitabu cha hesabu kitu ambacho hakitasaidia kitu
Sasa huyu mbunge atanunua hizo kopi mpaka lini?Na huyo mchapaji wa hicho kitabu si ataendelea kutajirika?Huyo mbunge kweli ana upungufu wa elimu
Ni kweli mchapaji ataendelea kutajirika lakini wananchi watakuwa wamekosa haki ya kuhabarishwa,assuming copies ni limited,then hizo copies alizochoma moto ni idadi ya wananchi waliokosa haki yao ya kukipata kitabu hicho plus wengine ambao wangevisoma mara baada ya wenzao kuvinunua.
Tatizo la Diallo ni elimu kweli: Kwanza alimnunua Kubenea kuandika story ya kukanusha kuwa hajagushi vyeti, hii ni baada ya kuona watu wananunua mpaka vichapisho vya photo copy vya kitabu hicho akaona anunue na vitabu.
Nae ni binadamu kama wengine anaweza kuvuta kwani hakuna Binadamu ambaye hapendi hela, fedha, Cash, mshiko ama chapaaKwa hiyo Kubenea amevuta??