Kama kweli Dialo kanunua na kuchoma moto vitabu ni upungufu wa maarifa ni sawa na mwanafuzi kushindwa somo la hesabu na kuamua kuchoma moto kitabu cha hesabu kitu ambacho hakitasaidia kitu
Sasa huyu anayenunua vitabu na kuvichoma ndiye aliyekuwa waziri wetu wa Maliasili; kweli kwa mtindo wa uteuzi wa vihiyo kama hawa tutegemee nchi yetu ipate maendeleo?