Mbunge ahoji kauli ya serikali kuhusu wanawake wanaokosa vifaa vya kujifungulia, Naibu waziri asema huduma kwanza na si kuulizwa pesa

Kiasi gani cha pesa kinachotumika kununulia magari ya fahari wakurugenzi wa halmashauri na wakuu wa idara?
Kuna waziri anamiliki timu ya soka yenye wachezaji wa kulipwa wa kimataifa, huo siyo uvujishwaji wa pesa za watatanzania wanaopaswa kutibiwa na serikali yao?
Zibeni mianya inayovujisha pesa ili wananchi wafaidi kodi zao.
 
Serikali inalalamika kulipia bil 277 Kwa mwaka Kutoa huduma ya mama kujifungua? Hivi sisi tuna matatizo gani?
Wanalalamikia huduma za afya ya mama na mtoto wakati huo huo wanachezea hela kwa kununuliana magari ya bei mbaya.
Nadhani muda umefika sasa serikali inunue magari ya bei za wastani ili kuongeza bajeti ya afya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…