Mbunge akiwa bungeni akikinzana na chama chake kwa kuwa mkweli wakimfukuza hapati pensheni yake?

Mbunge akiwa bungeni akikinzana na chama chake kwa kuwa mkweli wakimfukuza hapati pensheni yake?

bab-D

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
1,335
Reaction score
404
Wana jukwaa, hivi mbunge akiwa bungeni akikinzana na chama chake kwa kuwa mkweli wakimfukuza hapati pensheni yake?

Maana naona wakiwa bungeni hawasemi ukweli unao wagusa wananchi wake kulingana na maisha ya wananchi wao bali wanakaa kimya, wakikosoa na wakishambuliwa wanakubali kuwa wamwekosea kwa lazima, wakitoka bungeni wanafunguka hii imekaaje?

Hoja fupi lakini naona imeshiba
 
Back
Top Bottom