Mchungaji gani huyo kaachwa na Mlupo wa pale pale katika hiyo hotel na isitoshe Mlupo wenyewe ushasepa zake Tunduma kitambo baada ya tukio tupunguze zinaa ehhh! Hata watumishi wa mungu! Hatariii
Hata jukumu la wazazi la kulea itakuwa ni CCM. Maana siku hizi mtu akijikwaa tu, hili jiwe CCM hawajatoa. Kule kijijini kuna watu masikini zaidi na hata mijini pia lakini hawaibi. Kwahiyo kuiba si swala la kiCCm tu bali inajumuisha malezi na tabia za mhusika. Ulaya ambako watu wasio na kazi wanapewa posho hamna wizi?Pole sana Mpiganaji wetu Mchungaji !
Hii yote ni shauri ya CCM kulea wezi na majambazi. Badala ya watoto wetu kwenda shuleni, wako mitaani kwa kukosa ada, madawati na waalimu. Na hata wale waliomaliza elimu, wako mitaani hawana kazi !Haya sasa, bila kuiondoa CCM madarakani, Tanzania itaendelea kuwa nchi ya majanga tu ! Endelezeni mapambano huko Songea mpaka kieleweke !
duh, kila baya linalotokea bongo ni ccm..tumekosa vya kusingizia mazee? japo siipend ccm lakn siyo kihivyo duh![/QUO
Mi nina hofu we ndiyo mmoja wao kwani inadhihirisha kbs.