KasomaJr
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 367
- 141
Hivi kumbe bado tuna watu wa dizain yako kifaa? dah...aise ustaarabu ni kitu kigumu sana sometime hasa zama hizi za "freedom of speech"
Labda utusaidie source ya hii info yako bila shaka itasaidia sana, otherwise utuambie wewe umehusika either kwa wewe kuwa ndiye ulikuwa chumbani ulaliwa huo uloda.
Labda utusaidie source ya hii info yako bila shaka itasaidia sana, otherwise utuambie wewe umehusika either kwa wewe kuwa ndiye ulikuwa chumbani ulaliwa huo uloda.
Mchungaji gani huyo kaachwa na Mlupo wa pale pale katika hiyo hotel na isitoshe Mlupo wenyewe ushasepa zake Tunduma kitambo baada ya tukio tupunguze zinaa ehhh! Hata watumishi wa mungu! Hatariii