Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aibu kubwa Sana hiiUkistaajabu ya Mussa utayaona ya firauni
Mbunge Nchambi ameshangiliwa sana na wanaccm wa mkoa wa Shinyanga alipoelezea namna alivyotekeleza kwa ufanisi mkubwa ilani ya CCM.
Nchambi alikuwa akijieleza katika mkutano wa CCM wa mkoa ambapo wabunge walitakiw kutoa mrejesho wa majukumu yao, wabunge wengine waliojieleza ni Stephen Masele na Lucy Mahyenga.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!