Mkui rogo mlitandika ngap vileeeeNimekupata ya Lissu ilikuwa ni akshen kwenye Bongo movie. Sikujua.
kifoniHuku Kenya huwa wanajulikana.
Labda iwe nchi yenu mazuzu chadomo!!!**kwa sasa huyo si Mbunge. Acheni kukurupuka. Raila atatawala taifa kupitia nchi jirani (jina kapuni) kama ilivyokuwa Somalia ikitawaliwa tokea Kenya
Unaharaka kama mkojo wa asbh au chakwanza,kwanza mambo ya kenya hayakuhusu pia hawakurupuki kama chadomo na cdna flash zenuMbona aliyeapishwa ambaye ndiye mhusika mkuu hakamatwi?, Kenya acheni ubabaishaji, mbona mnaendesha nchi kihuni namna hiyo?
Tuko wengi tu!Sijakuelewa unatulaumu wakenya kuhusu Lissu alivopigwa risasi au? Labda hao wasojulikana wote wana kengeza. Hayatuhusu kama vile tu ya Kenya hayawahusu. Vipi tunangoja mlipe deni pale hospitalini afu tutamkubalia arudi. Hutasikia akihusishwa tena na sisi baada ya hapo. Pesa kwanza ndo lugha ya sisi manyang'au.
Mkuu haijawahi kutokea, wale watu ni smart sana.Huku Kenya huwa wanajulikana.
Mambo ya Kenya yananihusu sana, kwasababu wakati wa uchaguzi mamia ya wakenya wanakuja huku kuja kujificha, pili Kenya inategemea chakula toka Tanzania, tatu wakenya wengi sana wapo huku kama investors, walimu, wakulima na wanaotafuta kazi.Unaharaka kama mkojo wa asbh au chakwanza,kwanza mambo ya kenya hayakuhusu pia hawakurupuki kama chadomo na cdna flash zenu
Hehehe. Naona mmengiza za ccm sijui chadema kwenye maswala ya Kenya. Hapa lazima nisepe, mimi mkenya bana hayo yenu hayanihusu.Tuko wengi tu!
Shkamoo Pesa
Acha blah blah blah sema tu ulinyang'anywa shamba ama pesa na mkenya. Usione aibu, mwenzako Geza Ulole alishatubu. Nyang'au huwa halali darasani akiona mbumbumbu kama wewe. πMambo ya Kenya yananihusu sana, kwasababu wakati wa uchaguzi mamia ya wakenya wanakuja huku kuja kujificha, pili Kenya inategemea chakula toka Tanzania, tatu wakenya wengi sana wapo huku kama investors, walimu, wakulima na wanaotafuta kazi.
Mimi sijanyang'anywa shamba, ila ndugu yangu aliuliwa na majambazi toka Kenya walipovamia Benki hapo Moshi.Acha blah blah blah sema tu ulinyang'anywa shamba ama pesa na mkenya. Usione aibu, mwenzako Geza Ulole alishatubu. Nyang'au huwa halali darasani akiona mbumbumbu kama wewe. π
Pesa haina nchi!Hehehe. Naona mmengiza za ccm sijui chadema kwenye maswala ya Kenya. Hapa lazima nisepe, mimi mkenya bana hayo yenu hayanihusu.
Pole sanaMimi sijanyang'anywa shamba, ila ndugu yangu aliuliwa na majambazi toka Kenya walipovamia Benki hapo Moshi.
Wewe kibwengo acha kulialia. Unatanua tanua na mambo ya ubelgiji? Mbona hakutibiwa huko huko bongo? Kama vipi ikikuwasha sana chokonoa!Lisu alishatoka Nairobi baada ya kugundua ninyi ni wababaishaji hamna mnalojua, yupo Ubelgiji baada ya kuona mnampotezea muda lakini hamna uwezo hata wa kutoa risasi mwilini, that shithole country. Wapi Msando, wapi Jacob Juma, wapi Makaburi, wapi Rogo na wapi Bosi wa Modern Coast Buses, just few to mention.
Eti anatoroka medically advanced country, anakwenda nchi ambayo ilishindwa hata kunyoosha pua la Issac Rutto[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wewe kibwengo acha kulialia. Unatanua tanua na mambo ya ubelgiji? Mbona hakutibiwa huko huko bongo? Kama vipi kama imekuwasha sana chokonoa!
Aliuawa aboud rogo hadharan mchana kweupe
Mi huwa nashangaa tunavyolinganisha Kenya na Tz kwny umafia
Kama ni pesa basi nipoo! πPesa haina nchi!
Utajiju