Mbunge aliyeongoza kuapishwa kwa Raila Odinga jana akamatwa


Amevunja sheria gani ya Kenya?

Katiba ya kenya inasemaje juu ya utaratibu wa kuapa kwa "Raisi wa watu"?

Wanapoteza muda kufukuzana na upepo!
 
We unavyoona wangepewa kaz wale watu wenu walompeleka rogo kula bata na msando unafikir liss.a angepona na kuendelea kuongea pumba zake
We jamaa unawapenda sana Aboud Rogo na Makaburi, waliowaua hao mashekhe gushi wala hawajifichi. ATPU ukipenda Anti-Terrorism Police Unit, kitengo cha kule Mombasa walisema live kwamba ni wao ndo waliowaua. Hiyo ilikuwa ni revenge ya wananchi wengi wasokuwa na hatia ambao waliuwawa kwa sababu ya mahuburi ya kichochezi ya hao vichaa. Kama imekuuma sana nenda Somalia! Acha kubonyeza bonyeza tu simu yako hapo ukila mahamri wakati bikra 72 wanachoka kukungoja!
 
ATPU walsema live??
 
Tz magaid wanapelekwa mahabusu kula ugal wa bure

Ndo nasema kenya umafia mnauweza chuma chuma tu
 
Am not a terrorists
And i hate terrorists

Keep t in mind mkuu
 
ATPU walsema live??

Tz magaid wanapelekwa mahabusu kula ugal wa bure

Ndo nasema kenya umafia mnauweza chuma chuma tu

Am not a terrorists
And i hate terrorists

Keep t in mind mkuu
Nakuona unavobadilisha gia angani. Hukujua kwamba ATPU ndo walowa'eliminate' Aboud Rogo na mwenzake Makaburi? Kuna nini cha kuficha hapo? Hamna cha umafia wala nini. Kenya ipo kwenye vita na alshabaab na Operation Linda nchi bado inaendelea. Sasa shekhe mzima akisimama msikitini afu aseme eti dawa ya kafiri ni bunduki. Unategemea vyombo vya usalama vimpe maharage ya bure wakati hapo tayari keshasema anataka dawa?
 
Eti bwana! Ni sawa kabisa na kukamata watoto wanaotembea na toy guns mitaani kwa sababu eti ni security threat!
Bora hata toy guns zikikamatwa kuondoa shaka kwamba wenye bunduki za kweli wanaweza kujuchanganya na wenye toys. Huyu odinga kiapo chake ni batili haundi baraza la mawaziri, hana mamlaka ya uamiri jeshi saaa kwanini wakamatwe watu?!
Mwisho watakamata na wafuasi wake wakianza hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…