Watu wanatakiwa kuheshimu sheria na kanuni huwezi kuchukua jukumu la kumuapisha MTU kuwa raisi na Wakati Wewe siyo jaji mkuu,ndiyo maana wazungu wanatuona sisi kuwa kama wajinga Fulani hivi ,MTU unapoteza mda mwingi kusomea sheria baada ya kumaliza masomo yako unakuwa unaongozwa na HISIA na USHABIKI masomo yanakaa pembeni unavunja sheria za nchi .unakuwa umepoteza mda wako bure na kuharibu pesa za wazazi. Toute autorite vient de DIEU
Amevunja sheria gani ya Kenya?
Katiba ya kenya inasemaje juu ya utaratibu wa kuapa kwa "Raisi wa watu"?
Wanapoteza muda kufukuzana na upepo!