Mbunge amkumbusha Nape majukumu , Kuhusu Bundle

Mbunge amkumbusha Nape majukumu , Kuhusu Bundle

Internet-Money

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2021
Posts
493
Reaction score
1,135
Huyu mbunge angepata hii nafasi , angefanya makubwa.

Biashara mtandaoni zinazidi kufa , kwa sababu ya Bei ya bundle.

Vijana waliokuwa wakiingiza 24 Mil / month kwa kupitia online, hakuna hata mmoja


 
Kwa kweli vifurushi, bei yake iko juu Sana, licha ya propaganda ya watawala wetu kuwa bei zetu zipo chini, Katika ukanda huu
 
Back
Top Bottom