Internet-Money JF-Expert Member Joined Apr 20, 2021 Posts 493 Reaction score 1,135 May 20, 2022 #1 Huyu mbunge angepata hii nafasi , angefanya makubwa. Biashara mtandaoni zinazidi kufa , kwa sababu ya Bei ya bundle. Vijana waliokuwa wakiingiza 24 Mil / month kwa kupitia online, hakuna hata mmoja
Huyu mbunge angepata hii nafasi , angefanya makubwa. Biashara mtandaoni zinazidi kufa , kwa sababu ya Bei ya bundle. Vijana waliokuwa wakiingiza 24 Mil / month kwa kupitia online, hakuna hata mmoja
Mystery JF-Expert Member Joined Mar 8, 2012 Posts 15,843 Reaction score 31,057 May 20, 2022 #2 Kwa kweli vifurushi, bei yake iko juu Sana, licha ya propaganda ya watawala wetu kuwa bei zetu zipo chini, Katika ukanda huu
Kwa kweli vifurushi, bei yake iko juu Sana, licha ya propaganda ya watawala wetu kuwa bei zetu zipo chini, Katika ukanda huu
B bhutatala Member Joined Nov 7, 2021 Posts 25 Reaction score 54 May 20, 2022 #3 Ni sawa kabisa bundle ni tatizo kwa sas biashara za online zitakufa