Mbunge ampa mimba Wema Sepetu

Basi sawa. ....

Kama ni kweli, hongera kwa Wema. ..Ni wachache wasiotaka kuitwa mama umri ukishasogea. ..
 
Heshima ni kitu cha bure na sidhani kama umetumia hata akili ndg tuu kumdhihaki na kumdhalilisha binti wa watu kwa kumuita malaya na demu wa chama! Jiheshimu kuna namna ya kuchangia mada na si kudhalilisha watu
kabla ya kunitaka mimi nimeheshimu mwambie ajiheshimu yeye kwanza,nadhani unajua maana ya malaya.na kwa bahati nzuri Global wameweka hata list ya wanaume aliyetembea nao.lifestyle yake inajulikana.jina gani aitwe huyu msanii kioo cha jamii
 
Pongezi sana Mh.Msukuma mfupa walioshindwa makumi ya wanaume wewe msukuma umeuweza hakika wasanii Wa bongo movie wanapaswa nao kukupongeza
 
Duh watu wanajitoa muhanga! kwenda bila kofia,unabak na mawazo mwaka mzima,labda uwe umelewa
 
kabla ya kunitaka mimi nimeheshimu mwambie ajiheshimu yeye kwanza,nadhani unajua maana ya malaya.na kwa bahati nzuri Global wameweka hata list ya wanaume aliyetembea nao.lifestyle yake inajulikana.jina gani aitwe huyu msanii kioo cha jamii
hongera kwa kumkuta mkeo bikra...
hongera nae kukukuta bikra...ila kumbuka maisha na mahusiano hawapangi binadamu...unapenda na kupanga ila mwenyezi Mungu anapangua.
 
Kweli story za kwenye mikeka na kahawa, Huyo mbunge hawezi nae kutajwa..kwani wema si mwanamke ni nini cha ajabu akipata mimba? Gpl kazi kweli kweli, Invisible weka hii kule chit chat
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…