Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,363
Kumbe unauzaga HABARI?..huo UGOMVI uliishaje sasa..nikutakie BOXING DAY njema
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe unauzaga HABARI?..huo UGOMVI uliishaje sasa..nikutakie BOXING DAY njema
Nilikana tu kujifanya sio mimi..
Na wewe pia.. tupeane hata mualiko basi..
Watu wambeya wamefanyaje? au unamaanisha wambea?Ha ha ha ha huo uandishi wa ze udaku kha' watu wambeya jamani
Karibu kilosa,tule kiporo cha pilau...machinga niko huku
Haaa machinga ukirudi mjini tutafutane....
Kilosa kunani??
Hivi ni huyu wa Geita mwenye helikopta?kuna siku iliandikwa humu jf kuwa walikuwa wanakula bata sehemu iitwayo Geita Desire Park!!
Bw. Msukuma wa Geita siyo mbunge, ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Geita.
atakuwa ni yule zuzu wa geita musukuma....hili jamaa ni lishamba sana na limbukeni wa wanawake
Heshima ni kitu cha bure na sidhani kama umetumia hata akili ndg tuu kumdhihaki na kumdhalilisha binti wa watu kwa kumuita malaya na demu wa chama! Jiheshimu kuna namna ya kuchangia mada na si kudhalilisha watu
We tatizo kupatikana kwako kugumu...kilosa kutembea tu, siunajua machinga tena
Hadi Wewe, unaleta habari humu chanzo ni Shigongo?
Hayo magaazeti hata ukifungia maandazi utaharisha wiki nzima
Haaa we ukirudi nishtue.......,
nile good time na mmachinga...
Sasa kama anattombeka yeye kushika mimba tatizo liko wapi? Au hana **** mpaka iwe ajabu?
Hata mimi bado nashangazwa na jambo hili duu.huyo mbunge kabila gani ? mimi hata kama leo hii wema ananipa .... yake lazima nivai kondom mbili hadi tatu. namshangaa huyo aliyemla kavu kavu kweli hapa kazi tu.