Mbunge ampa mimba Wema Sepetu

Mbunge ampa mimba Wema Sepetu

Na kwanini unamuita hawara(hata ukiweka maana ya neno hili unaona haliendani nao) kwani Diamond ana wake na anaibia kwa Zari?

Kingine hata kwenye nyimbo kasema mumeo.

Kwa tafsiri yako basi hata walio bf na gf tu wataitama hawara.

Ndio habari hiyo mume na mke hao....labda mnataka kuona harusi picha kitandaoni wakiwaalika kuangalia
Kwa tasfiri yako kumbe ndio maana hata Dr Slaa yule hawara yake Josephine anamuita mke. hebu tafuta tafsiri ya Concubine.
 
Kwa tasfiri yako kumbe ndio maana hata Dr Slaa yule hawara yake Josephine anamuita mke. hebu tafuta tafsiri ya Concubine.

Ndio maan nimekuuliza kwanini unamwita hawara?

Na je mtu wakiwa gf na bf nao si utamwita gf hawara yake?

Na pia kila cha mtu unataka kualikwa?

Wanaitana mke na mume sasa unataka waitanaje...Zari ndio mwanamke wa kwanza kuwa na watoto kabla ya ndoa na mwanamume mwingine?
 
Ndio maan nimekuuliza kwanini unamwita hawara?

Na je mtu wakiwa gf na bf nao si utamwita gf hawara yake?

Na pia kila cha mtu unataka kualikwa?

Wanaitana mke na mume sasa unataka waitanaje...Zari ndio mwanamke wa kwanza kuwa na watoto kabla ya ndoa na mwanamume mwingine?
Nina hakika unajuwa vyema maana ya mke/mume/hawara na kimada. have good time.
Tchao.
 
Nina hakika unajuwa vyema maana ya mke/mume/hawara na kimada. have good time.
Tchao.

Basi tuite wote wapendanao na wenza wao ni ma hawara na sio tu wale wanaoibia wenzao wakiwa na mpenzi kwa kwenda kuwa na mchepuko. n.k.
 
Basi tuite wote wapendanao na wenza wao ni ma hawara na sio tu wale wanaoibia wenzao wakiwa na mpenzi kwa kwenda kuwa na mchepuko. n.k.

Si wanasemaga watu wakiishi miezi 3 au 6 ,ni mke na mume hao,kwa sheria za serikali?
 
Malaya aliyeua mimba Saba hawezi kuzaa kamwe...hizi ni kick za magazeti
 
Mwandishi wetu:Global Publishers
MJINI bwana! Habari nyingi
huanzia kwenye mikeka, siku hizi
wenyewe wamezimebatiza jina
la ?Ubuyu? ambapo kwa sasa ishu
kubwa inayozagaa mitaani ni
mwigizaji Wema Sepetu ?Madam?
kupachikwa mimba na mbunge
maarufu wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) wa Bunge la 11
(jina kapuni kwa sasa), vyanzo
vinasema. Pitapita ya sikio la Gazeti la
Ijumaa katika Jiji la Dar es Salaam,
hivi karibuni ilikutana na Ubuyu
huo kuwa mwigizaji huyo
amenasa ujauzito wa
mwanasiasa huyo ambaye ni
kijana mwenye utajiri mkubwa
anayetajwa kwa sasa kumiliki
vilivyo penzi la Madam.
KUMBUKUMBU KABLA YA HABARI
Kwa muda mrefu, Wema amekuwa akihaha kusaka mtoto
baada ya kupitia kwenye uhusiano na wanaume tofauti
akiwemo Yusuph Jumbe, Steven Kanumba (marehemu),
Nasibu Abdul ?Diamond? na CK (yule kigogo). Akiwa kwenye uhusiano wa
kimapenzi na wanaume hao kwa
hesabu yake na nyakati tofauti,
mara kadhaa msanii huyo
maarufu amekuwa
akikebehemiwa na mahasimu
wake kuwa ni mgumba jambo
ambalo limekuwa
likimhuzunisha. HABARI KAMILI
Ijumaa baada ya kuzinasa habari
za ujauzito wa msanii huyo,
lilijongea kwenye vyanzo vyake
na kukutana na ushuhuda huu
kutoka kwa rafiki wa karibu wa
Wema ukisema: ?Suala la mimba
sijui lakini Wema na mheshimiwa
wana uhusiano. ?Ukaribu wao ulianza wakati wa
kampeni za uchaguzi mkuu
(Wema alikuwa akimnadi
mgombea urais wa CCM, John
Magufuli), mpaka leo
wanaendelea.? MIMBA KABAAH!
Baada ya chanzo cha karibu na
Wema kutoboa mfereji wa
uhusiano na kuliacha suala la
ujauzito kwenye sintofahamu,
wachapakazi wa Ijumaa
waligeuza masikio yao upande
wa mheshimiwa mbunge ili
kupata ubuyu mwingine ambapo
suala la mimba lilitajwa waziwazi. ?Sitaki kunukuliwa ila mimi
nimemsikia mheshimiwa
akidokeza kuwa Wema ni
mjamzito, kwangu mimi kama
rafiki yake naona ni jambo jema,
hiyo ndiyo kazi ya mwanaume
kaka?hahahahaha!? Mmoja kati
ya marafiki wa mbunge huyo
alisema na kumalizia kwa
kicheko. WEMA NA MBUNGE FULL KICHEKO
Inaelezwa na vyanzo vyetu kuwa
baada Wema na mbunge huyo
kuwa wazazi watarajiwa wote
kwa pamoja wamekuwa na
furaha ya aina yake huku kila
mmoja akimsisitiza mwenzake
kuwa makini ili upepo mbaya
usipite kati yao. Aidha, katika hali inayoashiria
kuwepo kwa kitu cha tofauti
kwa msanii huyo aliyepata kuwa
Miss Tanzania 2006, hivi karibuni
aliandika kwenye akaunti ya
Instagram kuwa anayo sapraizi
ya nguvu kwa mashabiki wake. Baadhi ya wadau wa masuala ya
burudani wamehusisha sapraizi
aliyoitangaza Wema na habari za
ujauzito wake unaotarajiwa
kumaliza kejeli juu yake kuwa
yeye ni sawa na mti usiozaa
kwamba hauna thamani. MBUNGE NI TAJIRI MKUBWA
Mbali na umaarufu wa mbunge
huyo timu ya Ijumaa ilijiridhisha
kuwa mwanasiasa huyo ni tajiri
anayemiliki migodi ya madini na
kufanya biashara mbalimbali
zikiwemo za usafirishaji mizigo
na abiria anazofanya kupitia
magari yake. Kutokana na utajiri huo, habari
zinadai kuwa mbunge huyo
ndiye anayempa jeuri ya fedha
Wema ambayo inamfanya aishi
maisha ya ?nyodo? kama
wasemavyo watoto wa mjini. WEMA, MBUNGE WATAFUTWA
Katika kukamilisha weledi wa
habari, gazeti hili lilimtafuta
mbunge huyo kwa njia ya simu ili
azungumzie ishu hiyo lakini
hakuweza kupatikana hewani
jambo ambalo limechangia kwa
kiasi kikubwa jina lake
kuhifadhiwa. Kwa upande wa Wema naye
hakuweza kupatikana kwa
namba zake za simu sambamba
na ile ambayo chanzo chetu
kilisema ni mpya jambo
linaloifanya habari hii kuwa na
mwendelezo baada ya
kujiridhisha kwa kupata kauli za
pande zote mbili. AUNT ANENA
Kama haitoshi gazeti hili
lilimtafuta shosti wake wa karibu
na Wema, Aunt Ezekiel ili naye
afunguke kidogo juu ya madai ya
ujazito wa rafiki yake ambapo
mahojiano yalikuwa hivi: Ijumaa: Mambo anti?ake?
Aunt: Safi cha umbea wangu,
nipe mpya.
Ijumaa: Naona shosti yako Wema
karudi ili umpe mafunzo ya kulea
mimba, mpe hongera zake,
kushika mimba ya mbunge si
jambo dogo. Aunt: Kwani kakuambia yeye
mwenyewe? Kwanza niko naye
hapa, anasema simu zako
amekuwa anaziona lakini hataki
kupokea.
Baada ya mazungumzo hayo
ilisikika sauti ya Wema ikisema:
?Tena mwambie ni ya miezi 6,
tatizo nini??

yeue kajitangaza hana kizazi hiyo mimba imedungwadungwaje wabongo bhn haya
 
Si wanasemaga watu wakiishi miezi 3 au 6 ,ni mke na mume hao,kwa sheria za serikali?

Hiyo ufatwa na wengi kihivyo. Sasa na mtu mkizaa tena. Ila sio kila ndoa lazima itangazwe wengije usubiria wakitaka labda ya kivingine na iwe kubwa. Maisha uamuzi wa wapenzi

Ila si unajua tena ndimu walizokula aengi bado haziwatoshi wanajaribu kila kitu kuweka mahusiano ya Simba na Mkewe Zari kama vile sio watu.

Hata kwa mwimbo anasema mumeo bado wabishi wasiotaka wawe wanasema mengine.
 
Sio siri, kuna watu wanajikomba kwa Dai mpaka kero.
Hivi kuwa shabiki wa Dai ni kuwa Zuzu??
 
Ndimu ndimu zaidi zinahitajika aaagh

Kumekucha

Wengine wangejua kilasi za wanaomshabikia Baba Tiffah wangekimbia wadogo wadogo.

Nimekumbuka ... zingifuri zingifuri....
 
Nitakuja kuchangia siku nikisikia Wema yupo leba... tena hospitali ya Lugalo manake hata nikimuona Muhi2; kwangu nitachukulia movie hata kama atatoka ameshika kichanga huku akiwa hoi!
 
Magufuri= Hapa kazi tu
Msukuma=Hapa mimba tu
Mmmmhhh kanda ya ziwa ni sheeeeedah
 
Kwamba wapenzi woooote alikuwa anatafuta mtoto wa kuzaa! Inamaana huwa hatumii kings ili mimba iingie? Basi hii ni hatari, usalama hapo no wa mashaka

Watu wana moyo jamaniii kupiga kavu kwa bongo muvi ni sawa na kujiweka kitanzi....
 
Back
Top Bottom