Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
~~~Musukuma povu lote unalotoa kutetea kimada wako huwezi kuishinda vita hii.
hahahahahaHa ha ha kashiba matoke sio? Lol
Hahaha musukuma your gentleman's spirit is amazing,yani unatumia microphone ya bunge tukufu kutetea kimada!?...hata wale vijana kule geita waliozulumiwa ardhi yao umewasahau,kweli huu msimu wa mapenzi MUBASHARA!