Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Elimu ya uongozi ni muhimu sana, separation of power wengi inawapiga chenga, Muhimu tujue. Nchi yoyote ya kidemokrasia bunge ndo lenye nguvu ndio mana Rais anaweza kutolewa na bunge kama watapiga vote of no confidence.
Sasa inakuwaje mkuu wa mkoa ambae kimsingi ni mdogo kwa mbunge aanze kukoroma na kukejeli mbunge hadharan. Bunge likae limuwajibishe huyu mtu.
Mteule wa Rais ni Mtu mdogo sana mbele ya kiongozi aliyechaguliwa na umma hata mwenyekiti wa Kijiji ni mkubwa kama unaona rahisi ingia jukwani ukagombee. Ndio mana Marehem Manji alienda kuwa Diwani
Makonda kuwa na nidhamu heshimu wakubwa zako,, Mrisho gambo anamamlaka ya kumtuma WAZIRI aende jimboni kuangalia utekelezaji wa miradi ila wewe huna hayo mamlaka