Gambo aliyomfanyia lema yanamrudia. Ila mako ni mtu ambaye akiwa na viongozi hata waziri mkuu yeye anajifanya ni top. Uliona alivyokwua anazungumza huku akimgonga gonga waziri kwenye mabega? Ile ni tabia yake siku zote haijalishi yuko na nani kasoro rais. Ile tabia ya kumshika mtu bega kama vile kwa kawaida huwa mtu anaifanya kwa mtu ambaye kwake anamwona dogo.Elimu ya uongozi ni muhimu sana, separation of power wengi inawapiga chenga, Muhimu tujue. Nchi yoyote ya kidemokrasia bunge ndo lenye nguvu ndio mana Rais anaweza kutolewa na bunge kama watapiga vote of no confidence.
Sasa inakuwaje mkuu wa mkoa ambae kimsingi ni mdogo kwa mbunge aanze kukoroma na kukejeli mbunge hadharan. Bunge likae limuwajibishe huyu mtu.
Mteule wa Rais ni Mtu mdogo sana mbele ya kiongozi aliyechaguliwa na umma hata mwenyekiti wa Kijiji ni mkubwa kama unaona rahisi ingia jukwani ukagombee. Ndio mana Marehem Manji alienda kuwa Diwani
Makonda kuwa na nidhamu heshimu wakubwa zako,, Mrisho gambo anamamlaka ya kumtuma WAZIRI aende jimboni kuangalia utekelezaji wa miradi ila wewe huna hayo mamlaka
Pipa na dumu vilikutana