Mbunge analipwa mshahara wa 3.8M kwa mwezi, anapata posho 8M kila mwezi, jumla 11.8M. Akiwa kwenye kikao analipwa posho ya kikao 240K

Hii comment sjasoma mpaka mwisho maana hawa watu wanavolipana mamilion ya pesa n kama hawapo Tz. Yaan wanalipana kama vile hii nchi n ya kwao peke yao. Mamaeeee
 
Hii comment sjasoma mpaka mwisho maana hawa watu wanavolipana mamilion ya pesa n kama hawapo Tz. Yaan wanalipana kama vile hii nchi n ya kwao peke yao. Mamaeeee
mbaya zaid wanakuja kujifanya wanawapenda wanawanunulia mapapai barabarani na maindi ya kuchoma,
 
Kuna binadamu wanasikitisha sana...

Uzalendo wauanze wao kwanza kwa kukatwa kodi...
 
Alafu anasimama mbunge mmoja anasema serikali iongeze kodi ya uzalendo kwenye huduma za simu
 
Kwa mishahara ya wabunge 393, serikali inapoteza zaidi ya 1.1bil
 
WAJINGA WAKUBWA SANA WA NCHI HII ;NI WALE WALIOPANGA ETI SIASA NDIO IWE KAZI INAYOLIPA MAPESA MENGI SANA KULIKO KADA ZA IZALISHAJI KAMA KILIMO,MIFUGO NA VIWANDA !!!

HAPO NDIPO CHANZO CHA HUU UPUMBAVU UITWAO UFISADI, UBADHIRIFU,RUSHWA ,MAUAJI NA N.K!!


TUKIONDOA MAMISHAHARA MAKUBWA NA MAPOSHO MAKUBWA KWENYE SIASA TUTATATUA MATATIZO MENGI SANA YALIYOPO!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…