Mbunge anasema hakujawahi kuwa na chanjo ya Malaria; Waziri msomi yuko kimya. Ukweli tujitizame, kuna mahali hapako sawa

Hao Mabeberu mnaowalaumu kuwa hawaleti chanjo ya Malaria, vipi nao wakisema wamesha play role yao ya kugundua kuwa Maleria inasambazwa na Mbu wa kike hivyo part iliyobaki ya kinga, tiba na kuwakwepa/kwaangamiza hao Mbu ni yenu mtasemaje?.
Kabisa mkuu, beberu kishatoa mihela mingi, lakini kama kawaida NO HURRY IN AFRICA, polepole ndiyo mwendo hata katika mambo ya msingi na yenye dharura! Hakuna matokeo!
Kutwa kulaumu beberu, baniani mbaya kiatu chake dawa, na hela tunazopewa na hao beberu tunaziiba na kuzibadilishia matumizi.

Inasikitisha na kukera!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Nchi ya kijani kila kitu kwetu ni neema tu,hatutaki kisikia zaidi ya neema kila kona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…