Mbunge aomba ndege ziuzwe ili hela zigharamie upatikanaji wa maji Tanzania

Mbona wakati hatujanunua ndege bado maji ilikuwa shida pia? Watu kama mbunge huyu ni mifano hai ya upunguani.

Mapato yanayopatikana kwa sasa hayatoshi kwa miradi hiyo yote, kwa mtu mwenye akili lazima afikirie kuongeza mapato kwanza.

Anyway, huyo mbunge aliitwa bwege kama akili zake zilivyo za kibwege.
 
"Nawahi seat ya mbele / front seat" huwa inamaana gan??. Ni kutokuwa na uelewa wa maada (thread) husika ila unataka kuchangia ama??.... Kwang binafsi huwa sipendezwi na post hizi. Sababu post km hizo ni wazo/mchango HEWA.
huwez kumlazimisha mtu atoe maoni yake..mtu anatoa kwa hiari au? mwache mwenzako ajifurahishe
 
baada ya kumtazama nimegundua kuwa rais Magu anapenda policies za kuiga iga..pili anaendesha mambo kwa kinyongo na chuki...anafanya mambo ilmuradi tu yamchome au kumwumiza jirani....akiona reli inajengwa anafanya hima naye ajenge...akiona ndege zanunuliwa naye anatia bidii wanunue...yaani jamaa mjinga sana huyu...anaweza akatumbukiza nchi kwenye shimo sababu ya tabia kama hizi
 


Tanzana tuna wabunge wa hajabu sana, Wacheni aitwe bwege tu.
 
Ajabu nimecheka mbavu zikaniuma...... Eti ndege ziuzwe hawa wanaitaji zaidi ya maombi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…