Mbunge aomba ndege ziuzwe ili hela zigharamie upatikanaji wa maji Tanzania

Mbunge aomba ndege ziuzwe ili hela zigharamie upatikanaji wa maji Tanzania

Eti bombardier moja imekufa? Acha nitangulie kutuma rambi rambi zangu kwa watani wetu wa jadi. R.I.P Tulikupenda sana bombadia, ila kutu hakukupenda kama sisi. Dah inauma sana. [emoji15][emoji23][emoji40]
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Mbona wakati hatujanunua ndege bado maji ilikuwa shida pia? Watu kama mbunge huyu ni mifano hai ya upunguani.

Mapato yanayopatikana kwa sasa hayatoshi kwa miradi hiyo yote, kwa mtu mwenye akili lazima afikirie kuongeza mapato kwanza.

Anyway, huyo mbunge aliitwa bwege kama akili zake zilivyo za kibwege.
 
"Nawahi seat ya mbele / front seat" huwa inamaana gan??. Ni kutokuwa na uelewa wa maada (thread) husika ila unataka kuchangia ama??.... Kwang binafsi huwa sipendezwi na post hizi. Sababu post km hizo ni wazo/mchango HEWA.
huwez kumlazimisha mtu atoe maoni yake..mtu anatoa kwa hiari au? mwache mwenzako ajifurahishe
 
baada ya kumtazama nimegundua kuwa rais Magu anapenda policies za kuiga iga..pili anaendesha mambo kwa kinyongo na chuki...anafanya mambo ilmuradi tu yamchome au kumwumiza jirani....akiona reli inajengwa anafanya hima naye ajenge...akiona ndege zanunuliwa naye anatia bidii wanunue...yaani jamaa mjinga sana huyu...anaweza akatumbukiza nchi kwenye shimo sababu ya tabia kama hizi
 
Adai maji yawe kipau mbele kwa Watanzania na sio bombadia zinazopita juu wakati wananchi wanateseka kwa uhaba wa maji.

-------------------------------------
Kilwa South MP Selemani Bungara, alias Bwege (CUF), has asked the government to sell two airplanes and use the proceeds to deal with the shortage of water in rural areas.

He was debating the Sh727.3 billion budget estimates for the ministry of Water and Irrigation for the year 2018/19 in Parliament on Tuesday, May 8.
According to him, water should be number the one priority for the government and not purchasing aircraft.
“There is a huge need for water instead when compared to the bombardier that the country just bought. All MPS will agree with me that our people are concerned with delayed water projects. I suggest that we sell the two planes to ensure there is access to water,” he suggested.

MP to govt: Sell the bombardier, provide access to water


Tanzana tuna wabunge wa hajabu sana, Wacheni aitwe bwege tu.
 
Ajabu nimecheka mbavu zikaniuma...... Eti ndege ziuzwe hawa wanaitaji zaidi ya maombi
 
Back
Top Bottom