Tetesi: MBUNGE APANDISHA MORI

Tetesi: MBUNGE APANDISHA MORI

komora096

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Posts
20,548
Reaction score
5,647

Katika mishe mishe zangu youtube nikakutana na hii video..kiukwel huyu mbunge alikua na machungu sana...
Mpka kafikia hatua ya kuichana serikali live live...
Hii sio poa km ni kweli..

I've never given it much thought, cz am not so sure about that..
Guys...do you have any idea?sana sana wasee wa mipakani hko...
 
Mbunge kapandisha mori...kemu nieleze kidogo..je ni kwel au ni mpinzani?
Mimi ni baba Paroko, Kazi yangu ni kueneza Upendo duniani, ninawapenda wote hasa wakenya. Ninawatakia neema za bwana zilizojawa na Upendo ziendelee kuwashukia wakenya wote.
 
Hyo jamaa kaichana serikali live...hutowaina hku...
Eti viwanda vya cherehani tano[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe hawa jamaa wanaburuzwa ndio wanunue bidhaa za wahindi kisa chuki dhiki ya wakenya
Nimecheka nusra mbavu ziume..
 
"E="joto la jiwe, post: 32832954, member: 452226"]
Mimi ni baba Paroko, Kazi yangu ni kueneza Upendo duniani, ninawapenda wote hasa wakenya. Ninawatakia neema za bwana zilizojawa na Upendo ziendelee kuwashukia wakenya wote.
[/QUOTE]"Na njaa yao ipotee
 
Ni ukweli mtupu wala hajasema uongo...

Uwezi nilazimisha ninune product ya Tanzania kwa bei ya juu, wakati kuna product ya nje kwa bei nafuu...

Cc: mahondaw
 
Mimi ni baba Paroko, Kazi yangu ni kueneza Upendo duniani, ninawapenda wote hasa wakenya. Ninawatakia neema za bwana zilizojawa na Upendo ziendelee kuwashukia wakenya wote.
Hii ni fake news kabisa unachukia wakenya kupindukia.Huyu jamaa wa chuki kusema hivi ni kama mbakaji mkubwa wa wasichana kusema vile anaheshimu mabinti za watu.
 
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👊🏽👊🏽👊🏽👊🏽👍🏽

Katika mishe mishe zangu youtube nikakutana na hii video..kiukwel huyu mbunge alikua na machungu sana...
Mpka kafikia hatua ya kuichana serikali live live...
Hii sio poa km ni kweli..

I've never given it much thought, cz am not so sure about that..
Guys...do you have any idea?sana sana wasee wa mipakani hko...
 
Bei ya seruji na sukari zilishuka?

Back
Top Bottom