Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Mbunge wa Kilombero, Abubakari Asenga amependekeza TBC waandae taarifa ya habari ya taifa, na vyombo vyote nchini virushe.
Hiki kituko ni cha mwaka kwa kweli, kwani hao TBC si waandae na kurusha wenyewe na usikilize kupitia kituo chao?