Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Akapimwe mkojoWakuu
Mbunge wa Kilombero, Abubakari Asenga amependekeza TBC waandae taarifa ya habari ya taifa, na vyombo vyote nchini virushe.
Amelaaniwa taahira huyuWakuu
Mbunge wa Kilombero, Abubakari Asenga amependekeza TBC waandae taarifa ya habari ya taifa, na vyombo vyote nchini virushe.
Ila Africa tunafanywa kama midori vile na hawa viongozi..Hio Taarifa ya habari iwe inaanza kwa Samia akishuka toka mawinguni kama ilivokuwa Zaire ya Mabutu kwenye taarifa ya habari ya usiku.
CCM ovyo kabisa, kwenye ulimwengu wa utandawazi,wanakuja na habari hizi.
Kwa tume hii ya uchaguzi ?Pumba, huyu Harudi bungeni octoba
Ova...Hivi m23 hawawezi kusogeaaa huku kwenye fulani wakaleta amshaamshaaa viongozi akili ikae sawa
Ova