Pre GE2025 Mbunge Asenga apendekeza TBC waandae taarifa ya habari ya taifa, vyombo vyote virushe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Akili za kijamaa uchwara.
 
Sampuli za wabunge wa namna hii Taifa haliwezi kusonga kamwe.
 
Kwa akili hizi bora wakoloni warudi kututawala tu
 
Mbunge mpumbavu kabisa huyu. Yaani kabisa ameona jambo hilo ni la msingi kuwawakilisha wananchi wa jimbo lake. Vyombo binafsi vinalipa kodi wasipotezewe muda na ngoma za Mzee Nyunyusa.
 
Wana Kilombero msirudie makosa October.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…