Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,183
- 2,100
Ana watoto!!??"Tulikosea kweli yule Martha Karua kumrejesha kule, na hili kosa lisitokee tena hapa, hivi mtu anatoka huko analeta ujinga wake hapa halafu eti anarejeshwa mzima, salama salmini kweli. Na yule anayesema anadai kapigwa eti anashuka kwenye gari anajichechemeza kweli? Yule alikuwa apigwe arudi na mitungi ya gesi kule kwao, anapumulia gesi," anaeleza Maryam Omar Said, Mbunge wa Pandani, Zanzibar.
"Tumemuacha Martha Karua anaendelea kuzungumza akiwa Kenya kule, mheshimiwa Waziri hili lisitokee tena. Anayekuja kwetu tunamalizana naye hapa hapa, anayeingia ndani ya kumi na nane zetu, tumalizane naye hapa, hapa," alisisitiza Maryam, huku Wabunge wenzake wakimpigia makofi.
Mwenyekiti anapatikana kutoka miongoni wa wabunge vilaza unategemea niniBado najiuliza huyo mwenyekiti aliyeongoza kikao cha bunge nae alikuwa na akili gani kuendesha bunge aliloendesha leo??
Tuseme ukweli hawa watu wanamchafua rais wakidhani wanatetea ila wanafanya demage kubwa sijui kama wanaelewa hata kidogo wanachokifanya hakisaidii ila kina haribu taswira kabisa ya wanayemtetea na Bunge kwa ujumla wanenda kishabiki ila there is consequences mbeleni muda sio mrefu wajifunze kilichomkuta rais wa South juzi kwa Trump akawekewa VAR kama Kigaila dunia inaona wanatoa attention wakizani ndio uzalendo kumbe ni uzandiki wanaichafua nchi wanamchafua kiongozi big time wenye chama chenu muwashauri"Tulikosea kweli yule Martha Karua kumrejesha kule, na hili kosa lisitokee tena hapa, hivi mtu anatoka huko analeta ujinga wake hapa halafu eti anarejeshwa mzima, salama salmini kweli. Na yule anayesema anadai kapigwa eti anashuka kwenye gari anajichechemeza kweli? Yule alikuwa apigwe arudi na mitungi ya gesi kule kwao, anapumulia gesi," anaeleza Maryam Omar Said, Mbunge wa Pandani, Zanzibar.
"Tumemuacha Martha Karua anaendelea kuzungumza akiwa Kenya kule, mheshimiwa Waziri hili lisitokee tena. Anayekuja kwetu tunamalizana naye hapa hapa, anayeingia ndani ya kumi na nane zetu, tumalizane naye hapa, hapa," alisisitiza Maryam, huku Wabunge wenzake wakimpigia makofi.
Hii nchi ni nyoko!, nyoka wanatoka mchana kweupe, wanawika kama majogoo wakati ni matetea..."Tulikosea kweli yule Martha Karua kumrejesha kule, na hili kosa lisitokee tena hapa, hivi mtu anatoka huko analeta ujinga wake hapa halafu eti anarejeshwa mzima, salama salmini kweli. Na yule anayesema anadai kapigwa eti anashuka kwenye gari anajichechemeza kweli? Yule alikuwa apigwe arudi na mitungi ya gesi kule kwao, anapumulia gesi," anaeleza Maryam Omar Said, Mbunge wa Pandani, Zanzibar.
"Tumemuacha Martha Karua anaendelea kuzungumza akiwa Kenya kule, mheshimiwa Waziri hili lisitokee tena. Anayekuja kwetu tunamalizana naye hapa hapa, anayeingia ndani ya kumi na nane zetu, tumalizane naye hapa, hapa," alisisitiza Maryam, huku Wabunge wenzake wakimpigia makofi.
Fatilieni michango ya wabunge wa Zanzibar mtagundua jambo."Tulikosea kweli yule Martha Karua kumrejesha kule, na hili kosa lisitokee tena hapa, hivi mtu anatoka huko analeta ujinga wake hapa halafu eti anarejeshwa mzima, salama salmini kweli. Na yule anayesema anadai kapigwa eti anashuka kwenye gari anajichechemeza kweli? Yule alikuwa apigwe arudi na mitungi ya gesi kule kwao, anapumulia gesi," anaeleza Maryam Omar Said, Mbunge wa Pandani, Zanzibar.