PreGE2025 Mbunge ashangazwa Martha Karua kurudishwa Kenya akiwa salama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Acha waropoke tu Ila hili jambo ni zito sana linaweza kuleta madhara makubwa sana hasa kwa Watanzanis waishio Kenya
hawa wabunge wetu wanakosa hekima na busara kuanza kutukana na kuongea kashfa. Hizi ni tabia za makahaba na vibaka wavuta bangi na wanywa vipombe vya vichupa. Wasomi wazima wanakosa akili na kuanza kuiaibisha nchi
 
Hawa wanawake!!! walishawahi kuzaa kwa uchungu kweli? Mwanamke unasimama kwenye Bunge unasema kwanini mwanamke mwenzako, hakutolewa uhai wake? Kwamaana hiyo chama cha ccm, Serikali hii ni ya wauaji? Ndicho hawa wabunge vilaza wanachojaribu kutueleza hapa.

Watanzania hatuna Muhimili wa Bunge kufikia hapa, kuna kundi la wahuni wamejikusanya wako mle ndani. Bunge na Serikali ije ijibu je kazi yao mpya ni kuuwa watu wa ndani na nje? Wachunguzi wakija, wamerahisishiwa kazi, ni kama wanateleza tu.
 
"Tulikosea kweli yule Martha Karua kumrejesha kule, na hili kosa lisitokee tena hapa, hivi mtu anatoka huko analeta ujinga wake hapa halafu eti anarejeshwa mzima, salama salmini kweli. Na yule anayesema anadai kapigwa eti anashuka kwenye gari anajichechemeza kweli? Yule alikuwa apigwe arudi na mitungi ya gesi kule kwao, anapumulia gesi," anaeleza Maryam Omar Said, Mbunge wa Pandani, Zanzibar.

"Tumemuacha Martha Karua anaendelea kuzungumza akiwa Kenya kule, mheshimiwa Waziri hili lisitokee tena. Anayekuja kwetu tunamalizana naye hapa hapa, anayeingia ndani ya kumi na nane zetu, tumalizane naye hapa, hapa," alisisitiza Maryam, huku Wabunge wenzake wakimpigia makofi.

Credits: The Chanzo

Hawa wabunge wangelipwa 10000 kwa siku akili zingekaa sawa
 
Wote hao ni vilaza wa Mama!
Bado najiuliza, ni mimi ndio nimechanganyikiwa au ni nchi yangu ndio wamerukwa na akili.

Hivi inakuwaje watu wazima, wenye akili timamu, washabikie kutesa na kubaka raia wa kigeni!

Yaani raia wa nchi nyingine akija Tanzania apigwe na kuteswa, au kama anavyodai yule Mganda na kubakwa, halafu watu wenye akili timamu wanashabikia haya, tena bungeni!

Uko wapi umoja wa kiafrika alioupigania muasisi wa taifa Mwl. Nyerere?

Iko wapi imani kuwa binadamu wote ni sawa na Afrika ni moja?

Bora basi wangesema wakionekana wana makosa wapelekwe mahakamani, unashabikia kupiga, kutesa, kubaka na kutupa mpakani?

Halafu mtu anaongea bungeni na anapigiwa makofi!

Kwanza ilikuwa ni hoja ya kujadili nini hadi mtu aongee hivyo vitu?!

Kama mimi sijachanganyikiwa, basi nakuapia, hii nchi imechanganyikiwa.
 
Hao ndiyo wazanzibar ninaowafahamu sasa!

Hii kadhia ingetokea enzi za Magu,Fatuma Karume angepiga makelele si ya kitoto juu ya mawakili wenzie akina Karua.

Hapo ni uzenji kwanza,mengine baadae!
 
Hizi reaction ni za kijinga na kipuuzi kuwatukana wanaharakati wale. Martha Karua ni wa kuheshimiwa si wa kuchukuliwa poa mama yule. Ujio wao nchini hawakuja kimafia walikuja kama wanaharakati wa haki za binadamu. Ni upuuzi kuanza kujititimua kumtukana mwanaharakati na mwanasia yule mwenye heshima yake. Martha Karua once anaweza kuwa kiongozi mkubwa mwandamizi wa serikali ya Kenya. Sasa kama mnamtukana na kumdhalilisha itakuwaje siku akiwa waziri mwandamizi wa Kenya let's say akawa waziri wa mambo ya nje au wazri wa afrika mashariki, kwa hali hii mtasema siasa hazina adui au rafiki wa kudumu? Haya matusi na kashfa wanazotukana wabunge mbona ni utovu wa nidhamu na ni matusi ya wavuta bangi vijiweni? Hizi sasa ni tabia za wavuta bangi na walevi wa pombe za mataptapu
Bado najiuliza, ni mimi ndio nimechanganyikiwa au ni nchi yangu ndio wamerukwa na akili.

Hivi inakuwaje watu wazima, wenye akili timamu, washabikie kutesa na kubaka raia wa kigeni!

Yaani raia wa nchi nyingine akija Tanzania apigwe na kuteswa, au kama anavyodai yule Mganda na kubakwa, halafu watu wenye akili timamu wanashabikia haya, tena bungeni!

Uko wapi umoja wa kiafrika alioupigania muasisi wa taifa Mwl. Nyerere?

Iko wapi imani kuwa binadamu wote ni sawa na Afrika ni moja?

Bora basi wangesema wakionekana wana makosa wapelekwe mahakamani, unashabikia kupiga, kutesa, kubaka na kutupa mpakani?

Halafu mtu anaongea bungeni na anapigiwa makofi!

Kwanza ilikuwa ni hoja ya kujadili nini hadi mtu aongee hivyo vitu?!

Kama mimi sijachanganyikiwa, basi nakuapia, hii nchi imechanganyikiwa.
Ninashangaa mpaka ninaduwaa.
 
"Tulikosea kweli yule Martha Karua kumrejesha kule, na hili kosa lisitokee tena hapa, hivi mtu anatoka huko analeta ujinga wake hapa halafu eti anarejeshwa mzima, salama salmini kweli. Na yule anayesema anadai kapigwa eti anashuka kwenye gari anajichechemeza kweli? Yule alikuwa apigwe arudi na mitungi ya gesi kule kwao, anapumulia gesi," anaeleza Maryam Omar Said, Mbunge wa Pandani, Zanzibar.

"Tumemuacha Martha Karua anaendelea kuzungumza akiwa Kenya kule, mheshimiwa Waziri hili lisitokee tena. Anayekuja kwetu tunamalizana naye hapa hapa, anayeingia ndani ya kumi na nane zetu, tumalizane naye hapa, hapa," alisisitiza Maryam, huku Wabunge wenzake wakimpigia makofi.

Credits: The Chanzo

Inasikitisha sana!
 
Sijui hata niandike mawazo yangu kwenye lugha gani.

Parliamentarians today have truly embarrassed us all enough. If they were as enthusiastic about developing Tanzania as they have shown themselves to be in responding to the actions of activists inside and outside the country as well as comments made by our fellow East Africans following the deportation of Kenyan and Ugandan citizens who were barred from attending a court case, our country would not be in the position it is in today. NOBODY WANTS TO SEE TANZANIA FALL APART, NOBODY IS THREATENING THE PEACE IN THE COUNTRY, DEMANDS FOR LEADERS TO BE HELD ACCOUNTABLE, WHETHER IN REGARD TO STATE EXPENDITURE, CIVIL LIBERTIES, OR CONSTITUTIONAL REFORM DO NOT EQUATE TO ATTACKS ON THE NATION'S PEACE AND SECURITY.

The main issue we are facing is governmental impunity. The power of the state to not only ignore but as potential participants in the harming of the lives of Tanzanian citizens. The parliamentarian in the video speaks about peace and stability in our country, how we care about one another, and yet has the audacity to say that it was a mistake that Senior Counsel Martha Karua was able to leave Tanzania without retribution. She is contradicting herself. The words of the parliamentarian in question, alongside other comments made in Parliament in response to the events that transpired last week have been truly disappointing to say the least. If we ever hope to become a successful and prosperous country in every sense of the word we need to have higher standards for the individuals that are deemed to represent us.
 
"Tulikosea kweli yule Martha Karua kumrejesha kule, na hili kosa lisitokee tena hapa, hivi mtu anatoka huko analeta ujinga wake hapa halafu eti anarejeshwa mzima, salama salmini kweli. Na yule anayesema anadai kapigwa eti anashuka kwenye gari anajichechemeza kweli? Yule alikuwa apigwe arudi na mitungi ya gesi kule kwao, anapumulia gesi," anaeleza Maryam Omar Said, Mbunge wa Pandani, Zanzibar.

"Tumemuacha Martha Karua anaendelea kuzungumza akiwa Kenya kule, mheshimiwa Waziri hili lisitokee tena. Anayekuja kwetu tunamalizana naye hapa hapa, anayeingia ndani ya kumi na nane zetu, tumalizane naye hapa, hapa," alisisitiza Maryam, huku Wabunge wenzake wakimpigia makofi.

Credits: The Chanzo

Ana mtoto anayesoma
 
Nafikiri ni kati ya wabunge ambao hawajaenda shule, kumbuka katiba inaruhusu hata anaejua kuandika na kusoma tu. Waliomshangilia ni wale wale.
 
Back
Top Bottom