hawa wabunge wetu wanakosa hekima na busara kuanza kutukana na kuongea kashfa. Hizi ni tabia za makahaba na vibaka wavuta bangi na wanywa vipombe vya vichupa. Wasomi wazima wanakosa akili na kuanza kuiaibisha nchiAcha waropoke tu Ila hili jambo ni zito sana linaweza kuleta madhara makubwa sana hasa kwa Watanzanis waishio Kenya
Yani inashangaza sana sana.Hawa watu walipofikia ni tujipangeBado najiuliza huyo mwenyekiti aliyeongoza kikao cha bunge nae alikuwa na akili gani kuendesha bunge aliloendesha leo??
wasinajisi Tanganyika yetuFatilieni michango ya wabunge wa Zanzibar mtagundua jambo.
watanganyika tuamke sasa, tuwe macho nchi yetu isinajisiweWazanzibari wana lengo la kutuharibia Tanganyika yetu
Hawa wabunge wangelipwa 10000 kwa siku akili zingekaa sawa"Tulikosea kweli yule Martha Karua kumrejesha kule, na hili kosa lisitokee tena hapa, hivi mtu anatoka huko analeta ujinga wake hapa halafu eti anarejeshwa mzima, salama salmini kweli. Na yule anayesema anadai kapigwa eti anashuka kwenye gari anajichechemeza kweli? Yule alikuwa apigwe arudi na mitungi ya gesi kule kwao, anapumulia gesi," anaeleza Maryam Omar Said, Mbunge wa Pandani, Zanzibar.
"Tumemuacha Martha Karua anaendelea kuzungumza akiwa Kenya kule, mheshimiwa Waziri hili lisitokee tena. Anayekuja kwetu tunamalizana naye hapa hapa, anayeingia ndani ya kumi na nane zetu, tumalizane naye hapa, hapa," alisisitiza Maryam, huku Wabunge wenzake wakimpigia makofi.
Credits: The Chanzo
Bado najiuliza, ni mimi ndio nimechanganyikiwa au ni nchi yangu ndio wamerukwa na akili.Wote hao ni vilaza wa Mama!
Hizi reaction ni za kijinga na kipuuzi kuwatukana wanaharakati wale. Martha Karua ni wa kuheshimiwa si wa kuchukuliwa poa mama yule. Ujio wao nchini hawakuja kimafia walikuja kama wanaharakati wa haki za binadamu. Ni upuuzi kuanza kujititimua kumtukana mwanaharakati na mwanasia yule mwenye heshima yake. Martha Karua once anaweza kuwa kiongozi mkubwa mwandamizi wa serikali ya Kenya. Sasa kama mnamtukana na kumdhalilisha itakuwaje siku akiwa waziri mwandamizi wa Kenya let's say akawa waziri wa mambo ya nje au wazri wa afrika mashariki, kwa hali hii mtasema siasa hazina adui au rafiki wa kudumu? Haya matusi na kashfa wanazotukana wabunge mbona ni utovu wa nidhamu na ni matusi ya wavuta bangi vijiweni? Hizi sasa ni tabia za wavuta bangi na walevi wa pombe za mataptapu
Ninashangaa mpaka ninaduwaa.Bado najiuliza, ni mimi ndio nimechanganyikiwa au ni nchi yangu ndio wamerukwa na akili.
Hivi inakuwaje watu wazima, wenye akili timamu, washabikie kutesa na kubaka raia wa kigeni!
Yaani raia wa nchi nyingine akija Tanzania apigwe na kuteswa, au kama anavyodai yule Mganda na kubakwa, halafu watu wenye akili timamu wanashabikia haya, tena bungeni!
Uko wapi umoja wa kiafrika alioupigania muasisi wa taifa Mwl. Nyerere?
Iko wapi imani kuwa binadamu wote ni sawa na Afrika ni moja?
Bora basi wangesema wakionekana wana makosa wapelekwe mahakamani, unashabikia kupiga, kutesa, kubaka na kutupa mpakani?
Halafu mtu anaongea bungeni na anapigiwa makofi!
Kwanza ilikuwa ni hoja ya kujadili nini hadi mtu aongee hivyo vitu?!
Kama mimi sijachanganyikiwa, basi nakuapia, hii nchi imechanganyikiwa.
Halafu mbona Fatuma yuko kimya, au ndio Uzanzibari kweli.Hao ndiyo wazanzibar ninaowafahamu sasa!
Hii kadhia ingetokea enzi za Magu,Fatuma Karume angepiga makelele si ya kitoto juu ya mawakili wenzie akina Karua.
Hapo ni uzenji kwanza,mengine baadae!
Wanafiki hao watu sijapata kuona.Halafu mbona Fatuma yuko kimya, au ndio Uzanzibari kweli.
Inasikitisha sana!"Tulikosea kweli yule Martha Karua kumrejesha kule, na hili kosa lisitokee tena hapa, hivi mtu anatoka huko analeta ujinga wake hapa halafu eti anarejeshwa mzima, salama salmini kweli. Na yule anayesema anadai kapigwa eti anashuka kwenye gari anajichechemeza kweli? Yule alikuwa apigwe arudi na mitungi ya gesi kule kwao, anapumulia gesi," anaeleza Maryam Omar Said, Mbunge wa Pandani, Zanzibar.
"Tumemuacha Martha Karua anaendelea kuzungumza akiwa Kenya kule, mheshimiwa Waziri hili lisitokee tena. Anayekuja kwetu tunamalizana naye hapa hapa, anayeingia ndani ya kumi na nane zetu, tumalizane naye hapa, hapa," alisisitiza Maryam, huku Wabunge wenzake wakimpigia makofi.
Credits: The Chanzo
Sijui hata niandike mawazo yangu kwenye lugha gani."Tulikosea kweli yule Martha Karua kumrejesha kule, na hili kosa lisitokee tena hapa, hivi mtu anatoka huko analeta ujinga wake hapa halafu eti anarejeshwa mzima, salama salmini kweli. Na yule anayesema anadai kapigwa eti anashuka kwenye gari anajichechemeza kweli? Yule alikuwa apigwe arudi na mitungi ya gesi kule kwao, anapumulia gesi," anaeleza Maryam Omar Said, Mbunge wa Pandani, Zanzibar.
"Tumemuacha Martha Karua anaendelea kuzungumza akiwa Kenya kule, mheshimiwa Waziri hili lisitokee tena. Anayekuja kwetu tunamalizana naye hapa hapa, anayeingia ndani ya kumi na nane zetu, tumalizane naye hapa, hapa," alisisitiza Maryam, huku Wabunge wenzake wakimpigia makofi.
Credits: The Chanzo
Ana mtoto anayesoma"Tulikosea kweli yule Martha Karua kumrejesha kule, na hili kosa lisitokee tena hapa, hivi mtu anatoka huko analeta ujinga wake hapa halafu eti anarejeshwa mzima, salama salmini kweli. Na yule anayesema anadai kapigwa eti anashuka kwenye gari anajichechemeza kweli? Yule alikuwa apigwe arudi na mitungi ya gesi kule kwao, anapumulia gesi," anaeleza Maryam Omar Said, Mbunge wa Pandani, Zanzibar.
"Tumemuacha Martha Karua anaendelea kuzungumza akiwa Kenya kule, mheshimiwa Waziri hili lisitokee tena. Anayekuja kwetu tunamalizana naye hapa hapa, anayeingia ndani ya kumi na nane zetu, tumalizane naye hapa, hapa," alisisitiza Maryam, huku Wabunge wenzake wakimpigia makofi.
Credits: The Chanzo