PreGE2025 Mbunge ashangazwa Martha Karua kurudishwa Kenya akiwa salama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wazo
Wazo langu. Asingeishambulia nchi ya Kenya kama nchi. Bali angewaongelea wahusika wanaharakati binafsi. Gharama ya uchafu na uropokaji wa maneno watuulize tulioiona kwa macho vita ya 1978-1980 between Tanzania and Uganda. Mpaka leo baadhi ya hasara haijarekebika kabisa. Lakini pia huyu ni wa nchi ya Zanzibar,, kwao kuko shwari. Asituletee tabu bila sababu Tanganyika.
 
Well said Aminata, shida iliyopo ni kwamba hao wabunge waliochangia hawawezi hata kuelewa ulichoandika.

Hao ni wabunge aina ya Musukuma kwa sababu hawakwenda shule na hivyo hawajui kiingereza, wanajifarji kwa kusema kiingereza siyo kipaumbele chetu.
 
Well said Aminata, shida iliyopo ni kwamba hao wabunge waliochangia hawawezi hata kuelewa ulichoandika.

Hao wabunge aina ya Musukuma kwa sababu hawakwenda shule na hivyo hawajui kiingereza, wanajifarji kwa kusema kiingereza siyo kipaumbele chetu.
Asante sana.

Kama Kiingereza sio muhimu sasa kwanini ni lugha yetu ya taifa pia (pamoja na Kiswahili) na wanafunzi wa sekondari na chuo kikuu Tanzania wanafundishwa masomo kwenye Kiingereza ?

Mambo waliyoongelea bungeni mtu mpaka unaishiwa nguvu na unabaki mdomo wazi.
 
Well said Aminata, shida iliyopo ni kwamba hao wabunge waliochangia hawawezi hata kuelewa ulichoandika.

Hao ni wabunge aina ya Musukuma kwa sababu hawakwenda shule na hivyo hawajui kiingereza, wanajifarji kwa kusema kiingereza siyo kipaumbele chetu.
Ubabe wote huo kutoka nchi yenye GDP per Capita ya USD 1270 (approx.). Mungu atuongoze.
 
Natamani nihame hii nchi sema ni nyumbani

Nitaweka sura yangu wapi nikikutana na wakenya
 
Waarabu ni wabaya sana kama wameuza mechi juzi,wangemgusa wajue kuwa wamezaliwa area ipi msidhani ni hivi hivi tu watu kujiamini
 
Usiku kuna genge lipo JF mda huu sio kutoa mada
 
Watu wanajidanganya kama vile ni wao pekee ndio wenye monopoly ya kutesa na kuua. Waendelee.

Payukeni lakini mjue kuna watu wanachukua data. Labda kama mtajifungia ndani siku zote sawa. Vinginevyo mkitoka nje msije kusahau; muanze kuwa na tahadhari kubwa. Hamjui siku wala saa mtakapoanza kuviziwa, kusulubiwa, kubakwa na kupotezwa katika kona yoyote ya dunia hii. You're gloating about your cruelty to the wide world, mind you.

Conventional wisdom: wanaochagua kuishi kwa upanga, hufa kwa upanga.

Ni ujinga na ushenzi uliokithiri kujisifu kwa kutesa, kujeruhi na kuua binadamu wenzako ilhali hujui utakavyoifikia hatma yako na kwa mkono wa nani.
 
Wameshajua Boss wao anapenda Mipasho so wanaenda na mdundo wake ili awakumbuke kwenye kiti chake cha enzi. Ulaaniwe umasikini unaozalisha chawa!
 
Kinachowaponza wabunge wengi ni kukosa sifa za kuwa bungeni na hivyo kutegemea uchawa ili kuteuliwa!

Hadi uchawa utakapoisha ndipo nchi itapata viongozi sahihi!
 
Wakenya wamnote vizuri siku anasafiri kupitia Nairobi wamchomoe uwanja wa ndege wakamhoji vizuri awafafanulie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…