Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Hii isiishie kwa wafanyakazi wa serikali bali iende mpaka kwa wanasiasa hasa wakiwemo na wabunge! Hataka kama Mbunge kafanya miezi miwili tu akiboronga aachie ngazi.Amesema “Tujaribu kufikiria kama Bunge, hii tabia ya kufanya kazi kwa mazoezi na kuwa huwezi kufukuzwa kazi kirahisi ndani ya Serikali tuendelee nayo au tuhamie katika ajira za mikataba, ukisababisha hasara kwa Serikali unaondoka.”
haha haha hapa hawezi kuchangia hoja! MWAMBE ni Mpumbafu sana! Hajui kumuandaa mfanyakaz wa serikali ni gharama kubwa! kuna wtu wana siri za nchi unaanzaje kuwapa mikatabaHii isiishie kwa wafanyakazi wa serikali bali iende mpaka kwa wanasiasa hasa wakiwemo na wabunge! Hataka kama Mbunge kafanya miezi miwili tu akiboronga aachie ngazi.
hii ianze kwa wabunge wenyewe kwanzaAkizungmza Bungeni, leo Februari 7, 2023, wakati wa kuchangia ripoti ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Mbunge Geoffrey Mwambe amesema Serikali inalazimika kulipa fedha nyingi katika miradi mbalimbali kutokana na usimamizi na uwajibikaji mdogo wa baadhi ya watendaji wa Serikali.
Amesema “Tujaribu kufikiria kama Bunge, hii tabia ya kufanya kazi kwa mazoezi na kuwa huwezi kufukuzwa kazi kirahisi ndani ya Serikali tuendelee nayo au tuhamie katika ajira za mikataba, ukisababisha hasara kwa Serikali unaondoka.”
Haya tulisha shauri sn maana watu wanafanya kazi kwa mazoeaAkizungmza Bungeni, leo Februari 7, 2023, wakati wa kuchangia ripoti ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Mbunge Geoffrey Mwambe amesema Serikali inalazimika kulipa fedha nyingi katika miradi mbalimbali kutokana na usimamizi na uwajibikaji mdogo wa baadhi ya watendaji wa Serikali.

Sio kweli. private companies nyingi huto mikataba na mbona wanatoa bima, na Wala hakuna manyanyaso bali performance yako tu.Ajira ya mkataba huijui ndo maan
Aseee mtu unakuwa unanyanyasik sana
Bima hauna
Allowanc. Unayoipta n overtime na safar tu.
We ni mjinga kwa hiyo mtu akiwa na siri za serikali ndio afanye anavyojisikia kazini.haha haha hapa hawezi kuchangia hoja! MWAMBE ni Mpumbafu sana! Hajui kumuandaa mfanyakaz wa serikali ni gharama kubwa! kuna wtu wana siri za nchi unaanzaje kuwapa mikataba
we ndio pumba hujui serikali zinavyoendeshwa! unafkir chadema haoWe ni mjinga kwa hiyo mtu akiwa na siri za serikali ndio afanye anavyojisikia kazini.
umetoa mchango wa ovyo!
Serikali inaendeshwaje kwani???🤣🤣🤣🤣we ndio pumba hujui serikali zinavyoendeshwa! unafkir chadema hao
Kwa wafanyakazi wa vyeo vya chini kuwe na out sos workersAkizungmza Bungeni, leo Februari 7, 2023, wakati wa kuchangia ripoti ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Mbunge Geoffrey Mwambe amesema Serikali inalazimika kulipa fedha nyingi katika miradi mbalimbali kutokana na usimamizi na uwajibikaji mdogo wa baadhi ya watendaji wa Serikali.
Amesema “Tujaribu kufikiria kama Bunge, hii tabia ya kufanya kazi kwa mazoezi na kuwa huwezi kufukuzwa kazi kirahisi ndani ya Serikali tuendelee nayo au tuhamie katika ajira za mikataba, ukisababisha hasara kwa Serikali unaondoka.”
Outsource workersAkizungmza Bungeni, leo Februari 7, 2023, wakati wa kuchangia ripoti ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Mbunge Geoffrey Mwambe amesema Serikali inalazimika kulipa fedha nyingi katika miradi mbalimbali kutokana na usimamizi na uwajibikaji mdogo wa baadhi ya watendaji wa Serikali.
Amesema “Tujaribu kufikiria kama Bunge, hii tabia ya kufanya kazi kwa mazoezi na kuwa huwezi kufukuzwa kazi kirahisi ndani ya Serikali tuendelee nayo au tuhamie katika ajira za mikataba, ukisababisha hasara kwa Serikali unaondoka.”
Serikalin mkataba wa mwaka hupati Bima🤚Sio kweli. private companies nyingi huto mikataba na mbona wanatoa bima, na Wala hakuna manyanyaso bali performance yako tu.
Allowance zipo za kutosha tu. Sijui unazungumzia kampuni ipi hapa. japo zipo ambazo zina hayo uliyosema
Hii isiishie kwa wafanyakazi wa serikali bali iende mpaka kwa wanasiasa hasa wakiwemo na wabunge! Hataka kama Mbunge kafanya miezi miwili tu akiboronga aachie ngazi.