Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Akizungmza Bungeni, leo Februari 7, 2023, wakati wa kuchangia ripoti ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Mbunge Geoffrey Mwambe amesema Serikali inalazimika kulipa fedha nyingi katika miradi mbalimbali kutokana na usimamizi na uwajibikaji mdogo wa baadhi ya watendaji wa Serikali.
Amesema “Tujaribu kufikiria kama Bunge, hii tabia ya kufanya kazi kwa mazoezi na kuwa huwezi kufukuzwa kazi kirahisi ndani ya Serikali tuendelee nayo au tuhamie katika ajira za mikataba, ukisababisha hasara kwa Serikali unaondoka.”