Mbunge Ataka Wananchi Wapikiwe Chakula Wakati ww Uzinduzi Wa Miradi Mikubwa

TheCrocodile

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2021
Posts
1,864
Reaction score
5,254
"Miradi mikubwa ya nchi inayokuja kufunguliwa, kwanini msiweke hata asilimia moja ya sherehe, kwa mfano kama juzi tumekwenda kufungua Meli, pale wananchi wamekuja kwa tabasamu kubwa kuona Meli inafunguliwa, yani yalikuwepo maji ya kunywa tu...

...tulitegemea siku hiyo mradi mkubwa wa bilioni 120 tungeweza kupata Nyati kama 20 wakachomwa, watu wakapata wali” Mbunge wa Jimbo la Sengerema Tabasamu Hussein akizungumza Bungeni January 30, 2026.

 
Mwili unadhihirisha anachokizungumza..!!
Hakuna majitu mabonge na yenye vitambi yakawa na akili, yote yanawaza kula na kuongea pumba..!!
😂😂😂😂😂
 
Mwili unadhihirisha anachokizungumza..!!
Hakuna majitu mabonge na yenye vitambi yakawa na akili, yote yanawaza kula na kuongea pumba..!!
Hahahahaha!
Mabonge were just chilling😂😂
 
😅😅😅😅😅😅😅😅
 
Yupo sahihi unawashindisha raia kibao bila hata msosi na minyati ipo jirani. Wanashindwa hata kuufurahia uwekezaji. Naungana nae.
 
Yupo sahihi unawashindisha raia kibao bila hata msosi na minyati ipo jirani. Wanashindwa hata kuufurahia uwekezaji. Naungana nae.
Kwa hiyo kufurahia huo uwekezaji ni kumla huyo nyati😅😅😅Basi tukawatafune tu wote maana ndo faida ya uwekezaji wetu.
 
Sisi vibonge tumekukosea nini? Nimelia sana
Wala usijisikie vibaya ilimradi una mwili mwepesi;
Wanawake wenye mwili kiasi huwa wapo peace sana; hawana mambo mengi lakini pia hawana makelele ya hovyo hovyo kama wale vimbao mbao....
wanajua kusikiliza lakini pia ukitaka kilicho kwenye uwezo wake unapata bila kulumbana....na ndicho wanaume wanapenda!.....
 
Asante umenipa moyo.
 
Anawaza kula kula tu muda wote kwake hilo ndo la msingi pimbi kifutu huyu!
 
Yan ma Ccm bhana
Hapo yanawaza namna rahisi ya kutuwekea limbwata
Chakula chenu hatuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…