Mbunge Ataka Wananchi Wapikiwe Chakula Wakati ww Uzinduzi Wa Miradi Mikubwa

Mbunge Ataka Wananchi Wapikiwe Chakula Wakati ww Uzinduzi Wa Miradi Mikubwa

Yuko sahihi, unapo wakutanisha jamii kwenye shughuli za kiserikali, ni vema ukawakarimu wageni waalikwa kwa chakula na vivywaji
Huu ndio uzalendo.
 
Mtu jamani anichague niwe mbunge wa sehemu yeyote kwa maana hawa akili hawana .
Kuna watu hawana chakula cha kila siku ,mavazi ,mahali pakulala kwao hakunaga . Kuamka kwao shida . Wanatakiwa wapatiwe mikopo au misaada yakuimarisha hivyoo vyote.

Jingine shule nyingi hazina choo wala vitabu vya shule vile vya silabus kwanzia kiswahili hadi mathematics wao wanasoma kwa mawazo watu wengi wahumu wanasoma ila hawasaidii hao watoto nitaifa lakesho.

Waalimu wanafunzi hawana vyoo wanaenda mashambani au misituni wengine wanaliwa na wanyama wakali.
Hadi na leo dar haina maji kwa asilimia kubwa sehemu zingine pia mikoa na wilaya zao wanachi wahawana maji ,umeme nyumba zakueleweka na kazi za kueleweka .
Hawanavl vitanda vya wagonjwa ,madawa na madaktari na hao madaktari hawajui wanalala wapi .
Vitendea kazi kama sindano vipimo vya maabara hawana . Wala barabara zakufikia hospitali za mjini kwa wakati bado wanadhihakiwa .

Vyote hivyoo hakunaga.
HAlafu limtu linaonge a ujinga eti nyati maliasili eti wapotezwe kwa kisa wajinga .

Mungu atusaidie mnachoshaga
 
Back
Top Bottom