Mbunge au Diwani, akifa au kuhama chama, achaguliwe mwingine wa chama kile kile na kamati ya Wilaya au Mkoa. How does this sound?

Mbunge au Diwani, akifa au kuhama chama, achaguliwe mwingine wa chama kile kile na kamati ya Wilaya au Mkoa. How does this sound?

SIPENDI SIASA

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2024
Posts
791
Reaction score
1,199
Eti wadau, hii itasaidia kupunguza matumizi kwa hizi third world countries kama Tanzania?? How does this sound..

Mfano: Kafa Magufuli, akaingia Philip Mpango bila gharama za uchaguzi..

~ SIPENDI SIASA ~
 
Uko sahihi, hakuna haja ya uchaguzi kwa mbunge na diwani aliyehama chama, aliyejiuzulu, aliyefariki au aliyeteuliwa katika nafasi nyingine serikalini.
 
Uko sahihi, hakuna haja ya uchaguzi kwa mbunge na diwani aliyehama chama au aliyefariki au aliyeteuliwa katika nafasi nyingine.
Yes. Kamati ya chama husika ngazi ya Wilaya, Mkoa au Taifa wanakaa kuchagua mwingine kutoka ndani ya Jimbo lile lile ili kuokoa fedha kwa maana wakati wa JPM ni pesa nyingi mnoo zilitumika katika marudio ya chaguzi mbalimbali..
 
Watarogana
Mkuu, siamini kabisa katika ushirikina.

Lakini kwa hao wanaoamini, Je utamuua vp mtu ilhali wewe mwenyewe haujui kama jina lako likienda katika kamati (miongoni mwa majina 9) kama litapitishwa??..
 
Eti wadau, hii itasaidia kupunguza matumizi kwa hizi third world countries kama Tanzania?? How does this sound..

Mfano: Kafa Magufuli, akaingia Philip Mpango bila gharama za uchaguzi..

~ SIPENDI SIASA ~
Demokrasia ni gharama

.huyo aliyekufa ndiye alikuwa chaguo lao. Huyu hana baraka za wapiga kura
 
Demokrasia ni gharama

.huyo aliyekufa ndiye alikuwa chaguo lao. Huyu hana baraka za wapiga kura
Mkuu, kwa hiyo kwa logic hiyo, makamu wa Rais wa sasa (Rais number 2) hana baraka za watanzania??..
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Demokrasia ni gharama

.huyo aliyekufa ndiye alikuwa chaguo lao. Huyu hana baraka za wapiga kura
Mkuu, kumbuka pia huyu aliyekufa au kuhama chama pia alipitishwa na hizo hizo kamati before going to the ballot box..
 
~ SIPENDI SIASA ~
Waambie wawe wanastaafu sio mpaka wafie madarakani mtu anagombea ubunge na udiwani zaidi ya miaka 10 mpaka anakufa yupo madarakani kustaafu hawataki ina maana hakuna vijana wenye akili mpya mpya wanaomaliza kusoma elimu zao kila uchao?
 
Kung'ang'ania madaraka kama Freeman Assad Mbowe..
 
Kwa hoja hiyo basi hakuna maana ya democracy, Tutulie tu na One political party system.
 
Kwa logic hiyo futa uchaguzi kabisa twende na mfalme mmoja na familia yake tu.
Marekani senator akijiuzulu, akiteuliwa kwa nafasi nyingine au akifariki Gavana wa jimbo anateua senator mwingine kujaza hiyo nafasi.
 
Back
Top Bottom